Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,568
- 71,448
Alieangalia hii series asimulie visa vya mulee,,,humu kumejaa usalitiii ,mapenzi,,yaan ni vurugu tupu ,wenzetu wanajua kuigizaa
Nimeumia yule Lincoln kuuawa jamani,ningependa awe hadi mwisho wa hii movie ,,,,ina visa vya kusisimua mpaka rahaaa
Pia yule mdada clack hakati tamaa kaitendea haki hii moviee
Kuna mtu kaiona mpaka mwisho??