SIZONJE ndio jina la wimbo wake mpya Mrisho Mpoto alieyeshirikiana na Banana Zoro. Nimeusikiliza kwa makini lakini bado sijajua maana halisi ya huu wimbo.
Huwa napenda sana nyimbo zake Mpoto...
Hawa jamaa walikua TBC FM sasa wanajiita Bongo FM.
Kuanzia leo ila niwashauri wabadilike katika content zao wajikite kuburdani zaidi waachane na vipindi vinavyofanywa na TBC Taifa kama ukulima...
Waungwana, kuna nyimbo ya zamani kidogo yenye baadhi ya lyrics hizi
"Niwe nawe, Niwe nawee, penzi lako la thamani, lenye wingi wa nahau"
Anayeufahamu au details za jina la msanii na jina la...
RIWAYA; OPERESHENI KUKU (KUFA KUPONA)
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
VITABU VILIVYOTANGULIA
• KIKOSI CHA PILI
• MPANGO WA CONGO
• URITHI WA GAIDI
• SAUTI YA MTUTU
• DAKIKA ZA MWISHO...
Salam, Hii chanel ipo kwenye other channel Azam no 1023. Hawa jamaa sio Siri wanapiga miziki mchanganyiko sana.
Dstv Hip Tv wanajitahidi ila miziki mingi wanapiga ya kinajeria.
Hongereni sana...
MUZIKI wa Hip hop au Kemo kama unavyoitwa kitaalamu ni mama wa aina nyingi za muziki tunaousikia, umekuwa na mzuka wa aina yake kwa mashabiki hasa pale MC anapokuwa jukwaani akimwaga ladha ya...
Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake...
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla.
Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya...
Producers wengi Tanzania tumekuwa tukitumiwa na baadhi ya wasanii kama daraja la mafanikio yao na kisha kutupaka matope au kuuambia umma kuwa sisi ndio tumewakosea sana na tunawanyonya. Laiti kama...
Leo nilikuwa napenda tulizungumzie hili wadau ujio wa wasanii kutoka mataifa ya nje kuja hapa Bongo kufanya show je? Kuna impact ama faida yoyote imepatikana kwa Taifa letu nje? Ya ongezeko la...
Zangu ni
1: Dumb and Dumber 1 and 2
2: Anchorman 1 and 2
3: Ace Ventura 1 and 2
4: Superbad
5: Stepbrothers
6: Scary Movie 3 na 4
7: Naked Gun zote
8: Tropical Thunder
9:Blended...
Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu.
Mpaka sasa mzani wangu bado...
Kuna movies ukiangalia inaacha mark katika maisha yako.
Inakuwa sio tena entertainment, inakuwa fundisho, motivation, inspiration na luckily inabadilisha mtazamo wako juu ya maisha na jinsi gani...
Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless.
Zangu...
Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk.
Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique...
Denzel Washington yuko regarded as one of the greatest actors ulimwenguni. Namshukuru Mungu niko hai ku-witness ubora wake.
Kazi zote nazikubali ila top 5 yangu ni:
1: The Manchurian Candidate...
1: Seven
Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti.
2: American Psycho
Jamaa anaonekana...
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi.
Wote wana...
1. Seal Team Six: The Raid on
The Terminal List (2022)
2. Act of Valor (2012)
3. Redemption Day (2021)
4. Tom Clancy's Without Remorse (2021)
5. American Sniper (2014)
6. Lone Survivor (2013)
7...