Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa...
Hii ngoma nasikia harufu ni nyimbo ya kawaida sana...kuanzia content flow hata beat ila nasikia wana kitaaani wanasema ni ngoma kali sanaaa
Mbaya zaidi wanasema chid benz kamfunika Roma lakini...
Pasi na shaka kwa waliobahatika kuitazama series ya GAME OF THRONES mpaka mwisho watakiri kua kwa upande wa mpnagilio wa matukio wahusika mzingara story..... ile series haina mpinzani
Ni series...
Leo utahonga laki, kesho atataka dola.
ukimnunulia mishkaki, atadai na kijora.
yani hawasomeki, ni nyingi zao hila.
michekupo hawaridhiki, zitaisha zako hela.
Utampeleka samakisamaki, ila...
HAVINTISHI 1
HUSQER BALTAZAR (0657762790)
Siku moja nimekaa nyumban nikashangaa baba anakuja na shangazi pamoja na mwanaume ambae alikuwa anaonekana kama hajapishana sana na baba, “havintishi...
Taja Mwimbaji wa injili na ngoma zake unazozipenda😍😍😍
Sedekia-zote
1. Ni Neema
2. Dunia ya madiliko
R. Muhando almost zote
Shusho ndio kabisaaa
Essence of Worship
B. Bukuku-Nakutegemea Mungu...
siku ya jumapili, maskani niliketi.
kwa macho yangu mawili, nikifanya utafiti.
akapita kimwali,tena alikua fiti.
alikua pisi kali, rangi yake chokoleti.
sifa anastahili, yuko vizuri pale kati...
Habari ndungu zangu,nimejaribu kupost hi post kwenye jukwaa la dini lakini nimeambiwa "Sina enough permission to post only members" naombeni mwenye kujua majina ya nyimbo za katoliki au link...
Mgahawa wa Kwanza kabisa Duniani wa Vinywaji na Chakula Unaoruhusu wateja wake kupata huduma ya Chakula na Vinywaji wakiwa uchi Kama walivyozaliwa ni Mgahawa wa The Bunyadi. Wahenga wanasema Kua...
Kuanzia saa 4 usiku hadi saa 7 ni Rumba, Pachanga, dansi za <1990s Tanzania RFA.
kutoka saa 7 mkesha wa wahenga, TBC TAIFA, Mbazigwa hassan na Asossa.
For music lovers!
naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani..
nisiwe mnaafik..ananipenda si utani..
mtoto shokishoki..anatokea visiwani..
tena amejikoki..haniachi asilani..
penzi lake mshikaki..lina tamu milioni...
tena sioni aibu.. kukutaja hadharani..
wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani..
mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani..
kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani..
kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi...
WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP.
Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023.
Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023...
Nahitaji series yenye maudui ya magenge ya kihuni, uhalifu, ubabe, madawa ya kulevya
hadi sasa nimechekihizi series ambazo kwa hakika zimeniridhisha
-narcos (toleo la pablo na la mexico)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.