Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,866
Naomba nikwambie kitu kimoja.
Wanasayansi hawapendi sana muvi kwa kuwa zinatoa siri zao nyingi sana. Yaani ni bora hata vitabu kuliko muvi, hawazipendi mno.
Wakati watu wanatengeneza muvi. Sisi Waafrika tunasema; "Hizo muvi tu uongooooo."
Bro! Unaambiwa siri za dunia hii halafu unasema ni muvi tu. Ile miaka ya 90 wakati Anold anatengeneza ile muvi ya Total Recall, alionyesha kwamba shtuka kuna kitu cha clone, ila sisi tukachukulia muvi.
Siri zinapogundilika, wajanja wanaziweka kwenye muvi. So muwe mnaangalia, mkiona kuna kitu kinaonyeshwa na hakipo, bro, hicho kipo njiani kuja.
Tumeonyeshwa maroboti tangu zamani, sasa hivi yanakuja.
Ukitizama movie kama za Terminator na muendelezo wake wote, kwamba machine ziliwasaliti wanadamu na zikaanza kuwadhuru. Movie ya iRobot ya will smith na nyinginezo nyingi tulikuwa tunaona ni nadharia tu ila ndio uhalisia.
Tumeonyeshwa magari ya umeme, sasa hivi yapo.
Tumeonyeshwa ndege zinazojiendeamsha zenyewe, sasa hivi zipo
Yaani kwa jicho lako unachukulia muvi, ila kwa macho yetu tunachukulia ni ulimwengu ujao.