MIKE TEE
____________
Wengi wanamjua kwa jina la Mnyalu, Mike Tee, The Dangerous Emcee ila jina lake kamili ni Mike Francis Mwakatundu. Mike Tee alianza kuimba mwanzoni wa miaka 1990.
Mike Tee ni...
Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech ameshinda taji la Miss World 2024 katika fainali ya mashindano hayo tarehe 9 Machi 2024 jijini Mumbai- India.
Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech...
Fortune tellers ( wapiga ramli)
" Fortune tellers kilikuwa ni kikundi cha watoto wawili wakike na wakiume " ambao walikuwa wanashirikiana na kundi la X plastaz kufanya Muziki Enzi hizo kutokea...
AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA.
Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa...
Yash Chopra (marehemu) alikuwa ni moja ya wafanya filamu wakubwa India. Director huyu mzito alifanya filamu nyingi nzuri kupitia kampuni yake, Yash Raj Films, ambayo imekuwa ikitoa filamu kubwa na...
Ukipigwa muziki utaona mtu anaishia kujitikisa kichwa au kujibinuabinua bila mpangilio yani kifupi skills za kucheza mziki ni sifuri kabisa
Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu.
Basi hata...
Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi.
Katika safari yangu ya kucheka nimegundua...
Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab.
Tukitaka kutenda haki basi Malikia wa Mipasho anapaswa kua...
Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua...
PRODUCER ENRICO KUTOKA STUDIO ZA SOUND CRAFTERS.
_____________________
👉🏿Anaitwa Enrico figueiredo almaarufu enrico wa sound crafter's huyu ni mtayarishaji Muziki ( producer) mkongwe wa zamani...
SOGGY DOGGY ANTER.
Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy.
Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa...
HABARI ZA WAKATI HUU WAFUATILIAJI WA JAMVI HILI LA UKWAJU WA KITAMBO.
...................................
✍🏻kama ilivyo destru yetu wadau na wafuatiliaji wa jamvi la Ukwaju wa Kitambo, huwa tuna...
Bob Marley aliwai kusema "the good thing about music, when it hits you, you feel no pain". Sikatai lakini...
Jana baada ya mechi ya yanga na kuchoma Cannabis Sativa kidogo niliingia local bar...
Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma.
Methali na Tafsiri
Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi.
Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu...
HIP HOP HAIUZI - MADEE
WIMBO UNAOONGOZA KWA KUJIBIWA BONGO
HAMADI ALLY ndilo jina lake halisi lakini alipoingia kwenye uga wa michano akaona atafute jina ambalo litakaa kisanii lakini halitatoka...
Wengi tunamfahamu kama Zahara ila majina yake ni Bulelwa Mkutukana, alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Afrika Kusini, mtunzi wa nyimbo, na mpiga gita mzuri sana. Katika Kijiji cha Phumlani...
Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la...
Wakuu niaje?
Karibuni tukumbushane baadhi ya scene kali kabisa kwenye Movies zetu pendwa. Leo mimi nadondonsha scene hii fupi kutoka Shaolin Soccer. Unaikumbuka?
Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu.
Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii.
sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu...