Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Miongoni mwa vipaji ambavyo Tanzania imetunukiwa, ni pamoja na orodha kubwa ya waandishi wa hadithi za Kiswahili. Waandishi wengi wamechomoza kwa uhodari na umahiri wao kila mmoja katika kona...
12 Reactions
106 Replies
42K Views
Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao 1: Living with Purpose (LWP) 2: Big Dog...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeanza kusikiliza Gengetone. Naburudika, nacheka na kushangaa. Msaada wa gengetone kali kali. Natanguliza shukrani. https://youtu.be/kfzc-JOotH0?si=UrWSjEj8YvAph9lE
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Hawa wajinga wa Monty Python sijui walikuwa wanawaza nini. Watu wengi wamejikuta wamepata matatizo ya kiafya kwa kucheka sana baada ya kuangalia movie hii...
2 Reactions
1 Replies
614 Views
Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ? Ukisikia paah ya JCB original + Remix VS Mchizi wangu ya Nako2Nako...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku. Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam ila nikashindwa kunyanyuka kwenda...
9 Reactions
180 Replies
96K Views
Niende moja kwa moja kwenye point. Kwasasa hapa Tanzania nyimbo mbili toka wasanii wa Mbeya ndio zinazotakiwa kupewa Tuzo. Pia Midundi hii inastahili kuwa muziki unaoitambilisha Tanzania. 1...
1 Reactions
4 Replies
773 Views
Mimi naitwa Emmanuel Vicent Natokea Mwanza mimi ni video director natafuta watu ambao wapo vizuri kwenye kuandaa story hasa za kutengenezea filamu. Kama story kali tunaweza fanya biashara ila...
2 Reactions
2 Replies
463 Views
Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako. Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni special thread Kwa wapenzi wa muziki wa mwambao wa Pwani. Natoa nafasi - Zuhura shaabani
3 Reactions
55 Replies
4K Views
SIZONJE ndio jina la wimbo wake mpya Mrisho Mpoto alieyeshirikiana na Banana Zoro. Nimeusikiliza kwa makini lakini bado sijajua maana halisi ya huu wimbo. Huwa napenda sana nyimbo zake Mpoto...
6 Reactions
151 Replies
151K Views
Hawa jamaa walikua TBC FM sasa wanajiita Bongo FM. Kuanzia leo ila niwashauri wabadilike katika content zao wajikite kuburdani zaidi waachane na vipindi vinavyofanywa na TBC Taifa kama ukulima...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Waungwana, kuna nyimbo ya zamani kidogo yenye baadhi ya lyrics hizi "Niwe nawe, Niwe nawee, penzi lako la thamani, lenye wingi wa nahau" Anayeufahamu au details za jina la msanii na jina la...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
RIWAYA; OPERESHENI KUKU (KUFA KUPONA) NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0758573660 VITABU VILIVYOTANGULIA • KIKOSI CHA PILI • MPANGO WA CONGO • URITHI WA GAIDI • SAUTI YA MTUTU • DAKIKA ZA MWISHO...
11 Reactions
104 Replies
36K Views
Salam, Hii chanel ipo kwenye other channel Azam no 1023. Hawa jamaa sio Siri wanapiga miziki mchanganyiko sana. Dstv Hip Tv wanajitahidi ila miziki mingi wanapiga ya kinajeria. Hongereni sana...
0 Reactions
4 Replies
522 Views
MUZIKI wa Hip hop au Kemo kama unavyoitwa kitaalamu ni mama wa aina nyingi za muziki tunaousikia, umekuwa na mzuka wa aina yake kwa mashabiki hasa pale MC anapokuwa jukwaani akimwaga ladha ya...
1 Reactions
1 Replies
593 Views
Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Producers wengi Tanzania tumekuwa tukitumiwa na baadhi ya wasanii kama daraja la mafanikio yao na kisha kutupaka matope au kuuambia umma kuwa sisi ndio tumewakosea sana na tunawanyonya. Laiti kama...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Leo nilikuwa napenda tulizungumzie hili wadau ujio wa wasanii kutoka mataifa ya nje kuja hapa Bongo kufanya show je? Kuna impact ama faida yoyote imepatikana kwa Taifa letu nje? Ya ongezeko la...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Back
Top Bottom