Dis - track ya taarab. Iliyomvuruga Khadija Kopa. Utalijua jiji

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab.

Tukitaka kutenda haki basi Malikia wa Mipasho anapaswa kua bibie.

Afua Suleiman.

Ukitoka kuelewa huyu Afua nenda sikiliza Wimbo wa Taarab unaoitwa Utalijua jiji. Hapo ndani Mwanamama katapika shombo ile mbaya. Nadiliki kusema kuwa hakuna Mipasho zaidi ya huu Wimbo.

Kuonesha kuwa Hadija Kupa alivurugwa na kulemewa ni pale alipoamua kujibu kwa Wimbo wake unaoitwa Jiji nalijua.

Lakini pamoja na hivyo Bado score board unasoma 10-0.

Hongera sana Afua suleiman
 

Attachments

  • Utalijua Jiji Full Song.mp3
    25 MB
Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab.
board unasoma 10-0.
Hongera sana Afua suleiman
Wewe ni Justine au Justina? Maana ulichoandika hakiendani na Justine
 
Mama zuchu anajulikana Dunia nzima Afua,Nasma kidogo ujulikana Afrika mashariki tu.
Sasa nani malikia hapo.
Halafu mama zuchu kitambo sana,Kapten Komba kamkuta kwenye game kitambo tu.
 
Mkuu unafanya masikhara wewe. Nalijua jiji Bi Khadija alimaliza kila kitu.
Jiji kalichambua, jiji kalishika yeye mpaka ana kituo chenye jina lake utamwambia nini?
 
Back
Top Bottom