Zangu ni
1: Dumb and Dumber 1 and 2
2: Anchorman 1 and 2
3: Ace Ventura 1 and 2
4: Superbad
5: Stepbrothers
6: Scary Movie 3 na 4
7: Naked Gun zote
8: Tropical Thunder
9:Blended...
Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu.
Mpaka sasa mzani wangu bado...
Kuna movies ukiangalia inaacha mark katika maisha yako.
Inakuwa sio tena entertainment, inakuwa fundisho, motivation, inspiration na luckily inabadilisha mtazamo wako juu ya maisha na jinsi gani...
Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless.
Zangu...
Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk.
Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique...
Denzel Washington yuko regarded as one of the greatest actors ulimwenguni. Namshukuru Mungu niko hai ku-witness ubora wake.
Kazi zote nazikubali ila top 5 yangu ni:
1: The Manchurian Candidate...
1: Seven
Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti.
2: American Psycho
Jamaa anaonekana...
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi.
Wote wana...
1. Seal Team Six: The Raid on
The Terminal List (2022)
2. Act of Valor (2012)
3. Redemption Day (2021)
4. Tom Clancy's Without Remorse (2021)
5. American Sniper (2014)
6. Lone Survivor (2013)
7...
kuna nyuzi nyingi za hii battle, binafsi sikuona mshindi kwa maana niliwaona wako 50/50.
nikajipa muda kusikiliza ngoma zote kali za hawa viumbe, nikaja kubaini Fali ni mkali.
goli la ushindi la...
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muziki huu wa kizazi kipya tangu kipindi kile cha miaka ya 98 ulipoanza kukubalika katika jamii yetu ya kibongo na kukonga nyoyo za watu wa rika lolote bila kujali...
Kwa upande Wangu this list is my favourite Kwa nyimbo zilizotoka recently
Judikay - Man of Galilee
Israel Mbonyi - Malengo.
Israel Mbonyi - sikiliza.
Israel Mbonyi - amenisamehe.
AIC chang'ombe...
Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi?
Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo?
Natumia Fl Studio + Ableton...
Miaka hiyo muziki ambao ulikuwa ukitamba sana bongo ulikuwa ni lingala. enzi za akina kanda bongo man, bozi boziana, diblo dibala, lokassa ya mbongo,akina yondo sister, gatho,madilu system, defao...
Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa?
https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.