Kwanini masistaduu wa kibongo hawajui kabisa kucheza muziki

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,773
3,410
Ukipigwa muziki utaona mtu anaishia kujitikisa kichwa au kujibinuabinua bila mpangilio yani kifupi skills za kucheza mziki ni sifuri kabisa

Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu.

Basi hata wawaige kidogo wasauzi. Hii ni aibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom