Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mpaka sasa hivi amechukua tuzo; 1. Most gifted New-comer 2. Most gifted Afro-pop 3. Most gifted video of the year In what may be seen as a stroke as of bad luck or a decline in the quality...
4 Reactions
413 Replies
61K Views
Miaka 15 ya Wale jamaa wa Mjengoni, 88.5. ========== Leo Nimewasikia hawa watangazaji wabunifu na Machachari wa Radio hii ya Clouds FM ambao waliacha kazi muda mrefu sasa. Waliitwa kwa ajili...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiwezi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Mpiga drams maarufu nchini, aliyepata kupiga kazi na bendi Extra Bongo, Martine Kibosho, ambaye ni ndugu moja na mpiga drams wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', James Kibosho, anazidi...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nae...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Ile project ya Diamond itahamia Uganda hapo tarehe 18 December kwenye Zari white party inayofanyika kila December. Mgeni rasmi atakuwa Diamond. Wakati huohuo Wema nae atakuwa akiserebuka kwenye...
7 Reactions
238 Replies
32K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwana bongo fleva Ally Kiba Tumtakie maisha marefu na yenye baraka N:B Sitarajii kama huu utakuwa uwanja wa Kupambanisha watu tumtakie tu Ally Kiba heri ya siku/tarehe...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Huu ni utafiti wangu na maoni yangu mimi ( Money Stunna) Utafiti huu umeangalia wanawake mbalimbali ambao msanii diamond alikuwa nao kwa kipindi tofauti hakuna ambao aliomsaidia zaidi ya Wema...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ( pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga wa kienyeji ( jina linahifadhiwa) katika Kijiji cha...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Najua wewe ni mrembo sana ,una exposure na una pesa.Sawa wanasema mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana. Jana nimekuona sehemu fulani Kinondoni umelewa sana sana,hivi...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Hawa madogo huleta mzozo kila majibishano yao yanapoanza wengine wanamkubali Young Dar es Salam na mtaa wa pili wanamsoma Young Killer Msodoki. Tumalize mjadala humu humu ndani nani mkali?
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Hahaha muzeee wa project a.k.a msaniii bora East africa A.k.a ngazi ya waliopotea amechaguliwa kwenye Le project mpya ya We are the world africa Projekt hiyo imewashirikisha wasanii wote bora...
6 Reactions
49 Replies
7K Views
Hatimaye Lady Jaydee amethibitisha kwa kauli yake mwenyewe kuwa ndoa yake na mtangazaji mkongwe wa redio, Gadner G Habash imevunjika. Akiongea leo kwenye Exclusive Friday ya kipindi cha Sunrise...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Alessandra Ambrosio in a Bikini – Relaxing on the Beach in St Barts – November 2014
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya uvumi kuenea kuwa, ndoa ya muigizaji kiwango bongo, Irene Pancras Uwoya imevunjika, wawili hao walinaswa Live Airport nchini Rwanda wiki iliyopita, ambapo mke huyo wa Ndikumana alienda...
1 Reactions
26 Replies
15K Views
Jamani mimi hii picha nimeipenda, alafu huyu mama kanichapa sana fimbo mkononi dah!!! Gazeti la Mwanchi la Dec 2, 2007 limemkariri Rais Jakaya Kikwete akisema; "Baada ya kupima na kuingia kwenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jamani tujuzeni sisi wala bata.. Inasemekana kuna club moja matata inafunguliwa siku si nyingi maeneo ya usa river. Mwenye kujua atujuze wa mikoani maana hata kuna rafiki yangu wa Mwanza kaniambia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kati ya watoto wakali ninaowakubali apa mujini basi huyu ni nambar One, mtoto mkali utadhani nini, i wish ungeingia bongo movie uwakimbize, maana im sure hakuna ata mmoja atakayegusa level zako.
0 Reactions
168 Replies
23K Views
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza.Ni tofauti na nilivyoona Dimond yuko vizuri sana nmemkubali sana tisha Dimond asante kwa kuwakilisha vyema,waliomuona...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza: je, ni kweli Mkuu wa mkoa wa Mwanza Dr. Alex James Msekela(Pia Mbunge wa Tabora Kaskazini), kuwa wamekuwa wakisumbuliwa na nyoka katika nyumba yake. Inadaiwa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom