Shilole: Bila kiuno nisingefika Ulaya

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,394
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nae.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hiliakiwa barani humo anakoendelea kufanyashoo, Shilole alisema juhudi zake binafsindizo zilizompa shoo huko na hakutafutiwana mtu yeyote pia anamshukuru Mungukwani ameweza kuliteka soko la nje .

"Kiuno changu na muziki ninaoimba ndiyoumenifanya nikapata shoo za Ulaya na juhudizangu pia hapa nina shoo nne ambaponitarudi Bongo Desemba baada yakuzimaliza ," alisema Shilole.


GlobalPublishers
 
Binamu uwe unaanzisha na topic zinazohusu wanaume.

Aaah!! Aaaah good idea binamu, ila si unajua mademu wengi ndo uwa wana drama kuliko Men, ila nitafanyia kazi, pia scandal za mastaa wengi ni ushoga tu na umalaya
 
Kiuno ndio tiketi eee,basi sio haki mbona wale masabato masalia huwa wanawakatalia kwenda ulaya wakati viuno wanavyo?
 
Wanasema Mjini msingi Kiuno

1417462981487.jpg

1417463013304.jpg

1417463037497.jpg
 
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘ Shilole ’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nae.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hiliakiwa barani humo anakoendelea kufanyashoo, Shilole alisema juhudi zake binafsindizo zilizompa shoo huko na hakutafutiwana mtu yeyote pia anamshukuru Mungukwani ameweza kuliteka soko la nje .

“Kiuno changu na muziki ninaoimba ndiyoumenifanya nikapata shoo za Ulaya na juhudizangu pia hapa nina shoo nne ambaponitarudi Bongo Desemba baada yakuzimaliza ,” alisema Shilole.


GlobalPublishers

Non of our business!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom