Since way back sikuwa napenda kusikiliza Clouds FM kwa sababu ya style yao ya uongeaji hasa Adam Mchomvu, B12 na wengineo, so nikawa a big fun of Choice FM always nawasikiliza, ila kuna watu...
Msanii kutoka Uganda, Jose Chamelleone.
Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo.
" Siko katika level ya kuomba...
Binafsi nampenda kweli kulingana na kazi yake anaweza sana kuigiza, pia hana tabia za ajabu.,wakuu nyinyi mnamuuonaje huyu muigizaji wa kike anayejiheshimu.Fungukeni hapa
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki...
Wana Jamiiforums habari zenu?
Duh! huyu dada wa kwenye tangazo la Airtel Switch ON nampenda sana mnisaidie anaemfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani?
Tafadhali sana nisaidieni wadau...
Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.
Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile...
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali.
Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana...
Kutokana na umaarufu alionao Wema, amekuwa akidate na vigogo wenye pesa nyingi, na inasemekana mtu aliemnunulia BMW Wema, naye anahusika katika kuchota pesa za ESCROW.
Mwanadada huyu amekuwa...
Geez Mabovu amefariki katika kipindi ambacho kwa asilimia kubwa alikuwa amepotea kwenye masikio ya wengi. Na mara nyingi sababu za kupotea kwenye masikio ya watu ni kutochezwa kwa nyimbo za msanii...
Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa umefanya nini kusaidia jamii.
Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa...
Kwa wale wenye kutumia smart phones za android ingia playstore na search "MSODOKI" hapo uta download application mpya ya msanii wetu young kila msodoki na utaweza kuangalia video zake, kusikiliza...
MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha .
Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna...
Mshambuliaji wa kilabu ya Totenham nchini Uingereza Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake.
Duru zimearifu kuwa mama huyo tayari ameondoka...
Kuna watu wameimba kwaya kwa kwa kukopi kila kitu kutoka katika huu wimbo, je wamepata uhalali wa kufanya hivyo? Au ndio kibongo bongo mazoea?
Natumia cm nikakaa kwenye pc nitauweka huo wimbo...
LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi Ray kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa , Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu .
Akizungumza na...
Hili Jukwaa Sasa Limechuja
Na Radha Yake Imepotea Kabisa
Mbona Kuna CeLebrities Kibao Hapa Town:..Sasa Kwa Nini Mmebase Kwa Msanii Mmoja Tu?
Kwa Hii Tabia , Mi Nasema Nimechoka!
Jigo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.