Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 181

Jamani mimi hii picha nimeipenda, alafu huyu mama kanichapa sana fimbo mkononi dah!!!
Gazeti la Mwanchi la Dec 2, 2007 limemkariri Rais Jakaya Kikwete akisema;
"Baada ya kupima na kuingia kwenye banda kusubiri majibu nikawa najiuliza ikionekana nina virusi vya ukimwi itakuwaje?"
Source haki blog