Mongoiwe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 524
- 263
Kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza: je, ni kweli Mkuu wa mkoa wa Mwanza Dr. Alex James Msekela(Pia Mbunge wa Tabora Kaskazini), kuwa wamekuwa wakisumbuliwa na nyoka katika nyumba yake. Inadaiwa kuwa usiku amekuwa akishindwa kulala yeye na familia yeke na hali imekuwa mbaya kiasi cha kula chakula wakiwa wameweka miguu juu ya meza wakiogopa nyoka hao.