Imeripotiwa kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Afrika, Tayo kuzikosa dola laki tatu za Biggie zilizomwendea Idris wa Tanzania Jumapili iliyopita, mshiriki huyo wa...
Jamani watanzania huu ndo wakati wa kuonesha ushirikiano.Wamezoea kutuonea issue zinatokea zinaishia chini Kwa chini.
huyu ----- Davido Acha ababaikiwe na mafala na sio watu wanaojielewa..Tuanze...
tumeona wasanii wengi tu hata huko ulaya na marekani wakiwa wanatangaza bidhaa kwenye video zao,
km vile simu, headphones na cameras lakini kwa hii ya Vanessa ni too much...
Wapo wana hip hop wengi wa zamani waliofanya vizuri lakini leo hii game yetu imeshikiliwa hasa na hao vijana wanne tajwa hapo juu.Napenda sana kusikia nyimbo zao redioni ila sema ndio hivyo tena...
ule uchumba ulianza kwa kasi ya ajabu kati ya mtanzania aliyetuwakilisha big brother 2013 na mwenzake raia wa botswana kwishneyi.
Feza Kessy amekiri uchumba huo kuvunjika kwa sababu ameona...
Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ' Mtunis ' aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana
mvuto!
Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa...
Ni hivi mapema tangu Wema afunuke kwamba wameachana na Diamond lakini jamaa amekataa ku confirm or to prove wrong about. Na huu wimbo unasanifu kila kitu, hapo kuna cha kuficha?
Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye...
habari za jumapili wana jamvi.hiki kundi la wanamuziki lililotamba kwa jina la wagosi wa kaya na nyimbo zao kama ;tanga kunani pale,walimu,wauguzi na trafic ..wako wapi vijana hawa mana walikuwa...
MTANGAZAJI Bongo, Penniel Mungilwa ' Penny' amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha marafiki wa damu , Wema Sepetu ' Madam' na Aunt Ezekiel , baada ya yeye kuingilia urafiki huo ...
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ' Masogange ' aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja...
Dah! hapa imetoka kupigwa dangushima, dogo anabana sana pua its so annoying. Huyu dogo ki ukweli sauti hakuna ni pua kwenda mbele.
Jamani please wekeni Top 10 ya wabana pua tuwajue, wanaboa...
Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani.
Nimemkumbuka Geez Mabovu...
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika...
By Associated Press Published: Dec 5, 2014 at 12:12 PM PST Last Updated: Dec 5, 2014 at 12:12 PM PST PLEASANTVILLE, N.J. (AP) - Rapper Beanie Sigel was...
Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa
Kweli picha ni yangu, mimi ndiye nimeiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.