Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

"Kwanza sisikilizagi Clouds redio ya kis****e hiyo" Nakumbuka maneno hayo aliyasema 20% Jumamosi flani ya mwaka juzi alipokuwa anahojiwa kwa simu kwenye kipindi cha Bongofleva kinachoongoza na...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Waliokuwa washiriki wa mashindano ya Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan wa Tanzania na Samantha Jensen wa South Africa wameanza kuonesha ukaribu wakiwa nje ya jumba la mashindano hayo...
3 Reactions
52 Replies
12K Views
Nimesikitishwa sana na kifo cha binamu yangu khamis Kayumbu Amigoras kwa matatizo ya moyo, Amigoras ni ndugu yako na amefanya kazi kwenye band yako kwa miaka 18! Unajua tatizo lake la afya...
5 Reactions
67 Replies
13K Views
Habari ndiyo: Nkosi Sikelel' iAfrika
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Anaejua location ya campuni ya jokate naomba Masada wako
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naziona dalili za Idris kuingia mikononi mwa Lulu. Comment ya Lulu "he made it: Idrissssssss! na picha aliyopost ni viashiria!
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu Nina shida ya haraka na Mc pilipili,mwenye contacts zake aniwekee hapa tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mdada mtangazaji wa star tv ameolewa na Raymond Nyamwihula ambaye naye allikuwa mtangazaji wa star tv, ila kwa sasa anafanya kazi Arusha ni Beural master. wameonesha harusi yao kwenye citizen...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
1 Reactions
80 Replies
14K Views
Hii imetokea katika club mmoja nchini Uganda baada ya Davido kutoka katika club hiyo na kurudi Hotelini.Davido kwa sasa yupo nchini Uganda.Mwenyeji wake ambaye ni Mdogo wa Jose Chamilion...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Huyu bi dada ni mtangazaji wa Clouds tv yaani anaboa mpaka kichefuchefu. Yupo kwenye kipindi cha Weekendchart show.. kwanza bi dada much know mbaya halafu full kuiga pozi za Nick Minaj, hayupo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ehee kwenye pita pita yangu mitandaoni. Ndo nikashangaa kabinti kako Kwa bibi U.K. Nimezoea ya wale wengine kuanzia kwenye ndege mpaka kitandani tungetupiwa tukio, mbona huyu mwana dada ambaye ana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Staff of Jay Z's Roc Nation wrote in to MediaTakeOut, claiming that Beyonce came into their office to see Jay Z and may have given him oral sex in his office. Below is what she said I work at...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha ripoti zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa Nigeria baada ya kuzikosa $300,000 za BBA zilizonyakuliwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumbani kwa muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi. Kwa...
0 Reactions
100 Replies
18K Views
Binafsi nimekuwa nikifuatilia hili suala la Diamond kuwa na msuguano na Davido tokea ushindi wa Idris Big Brother na nikiri kuwa Diamond hakupaswa kusema aliyosema dhidi ya Davido kwa sake ya...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna mtu ana taarifa za huyu DJ maarufu aliyekuwepo Radio One miaka ya 1997.. Kama hawa wanaotoa tunzo za music wangekuwa wapo makini na tunzo zao basi wangeweka tunzo ya wakongwe waliopambana...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
wizkid ambaye ni msanii wa nigeria na hasimu mkubwa wa davido ameitakia happy indepence day Tanzania.Hii imekaaje au ndio kutumia fursa kwa lile wingu lililoibuka upande wa davido na watanzania...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni muda mrefu sijawasikia watangazaji maarufu wa michezo wa Radio one. Kama ni likizo haishi tu au mmesajiliwa china kama mlivyokuwa mkijinanga Radioni? BI Joyce tunaomba watangazaji hawa warudi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Diamond kawambia wasiogope kuchekwa
2 Reactions
60 Replies
10K Views
Back
Top Bottom