Jana kidogo wamuue Mwakinyo Jr ulingoni!

Jana kidogo wamuue Mwakinyo Jr ulingoni!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,676
Reaction score
97,451
Jana Hassan Mwakinyo Ilibaki kidogo wamuue ulingoni. Akakimbia round ya tisa. Kuna mwamba anaitwa Michel Soro uko kamdunda hatari
.
IMG_9040.jpeg
Next time wawe wanafungana miguu kama hivi mtu asikimbie kimbir uwanjani.
 
Jamaa kidogo aache kifusi cha nnya ulingoni 😂
Dkk 3 za ulingoni ni sawa na dkk 90 za football
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom