Wema sepetu avishwa pete

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini Wema Isaac Sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la Mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema watakipata lini na kuonyesha nyota yake bado inang'ara japo amepitia misukosuko mingi,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa new maisha club ambapo imehudhuriwa na mastar wengine kama jb,sharomillionea,sam,gadna g habash,mateja na wengine wengi.

Wakati huo huo aliyekuwa mchumba wake waliyemwagana diamond yupo ktk hali ya sintojua baada ya mpenzi wake mpya kudaiwa kurudiwa na aliyekuwa mchumba ake Hasheem Thabit.

Kila la heri dada ktk safari yako mpya na pole kwa kijana diamond.

Source: dj choka blog na mimi mwenyewe
 
Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini wema isaac sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema watakipata lini na kuonyesha nyota yake bado inang'ara japo amepitia misukosuko mingi,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa new maisha club ambapo imehudhuriwa na mastar wengine kama jb,sharomillionea,sam,gadna g habash,mateja na wengine wengi.wakati huo huo aliyekuwa mchumba wake waliyemwagana diamond yupo ktk hali ya sintojua baada ya mpenzi wake mpya kudaiwa kurudiwa na aliyekuwa mchumba ake hasheem thabit.
Kila la heri dada ktk safari yako mpya na pole kwa kijana diamond.
Source: dj choka blog na mimi mwenyewe

Kwa idadi ya pete alizokwisha vishwa, anaweza kufungua duka la pete na kuuza kwa mwezi mzima kwa wateja wasiopungua watano kwa siku bila kuongeza stock!!!
 
Hahahahaa kazi kweli kweli,hivi kuvalishwa pete na kila mpenzi unayekua nae afu mwisho wa siku mnaachana kwa mbwembwe ni akili au matope?
 
Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini wema isaac sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema watakipata lini na kuonyesha nyota yake bado inang'ara japo amepitia misukosuko mingi,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa new maisha club ambapo imehudhuriwa na mastar wengine kama jb,sharomillionea,sam,gadna g habash,mateja na wengine wengi.wakati huo huo aliyekuwa mchumba wake waliyemwagana diamond yupo ktk hali ya sintojua baada ya mpenzi wake mpya kudaiwa kurudiwa na aliyekuwa mchumba ake hasheem thabit.
Kila la heri dada ktk safari yako mpya na pole kwa kijana diamond.
Source: dj choka blog na mimi mwenyewe

mapenz ya hawa watu ni KIGEUGEU
 
Hahahahaa kazi kweli kweli,hivi kuvalishwa pete na kila mpenzi unayekua nae afu mwisho wa siku mnaachana kwa mbwembwe ni akili au matope?

uzuri kwake,,,maana anaandika rekodi,,,ya dimond hajui iko wapi,,,,ila pia wanafurahisha,huwa wanavalishana kwa mbwe na wanaachana kwa mbwembwe,,,,
 
Unataka kuniambia nimeshamkosa tayari manake nilikuwa najaza mfuko nimtafute duhh huyu jamaa kanivurugia mipango yote.Sasa hivi nilivyo vikusanya ni vipeleke wapi ahhh kwani miss no 3 nipeni jina manake n0 2 yule jamaa aliyekuwa naye kanizidi mawe fanya mchezo basketball nini tena nba kudadadeki zake
 
Kwenye Uislam hakuna kuvalishana pete za "uchumba" wala za "usebule". Kama umezimika kwa mrembo toa posa ndoa ifanyike haraka.

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
this girl is a disgrace to her family...it is worthless for me personally to put efforts to discuss what she is doing....she is always after media attention na huo ni upumbafu na akili za watoto...samahani lakini ....
Usha discuss lakini mkuu.
 
Congrats Wema, wewe ni mwanamke ambaye nakuadmire sana, kwani japo watu wanakufuatilia lakin hujali and you live your life. Lea penzi bibie tena jiunge na MMU ili ufaidi zaid.
 
Huyu dada kwakweli ni mtata na hashikiki,lakini hongera mwaya maana yaweza kuwa ndio kuolewa kunakuja hivyo,ingawa utakuwa umesotea na kukutesa kweli,mara upigwe,mara ufukuzwe na wanaume kama mwizi,mara utake kugongwa na magari ya wake za watu yaani cha moto unakipata na hukomi,ndio maana sometimes naona ni bora uwe mwanamke wa kawaida unaweza kuolewa fastafasta kuliko nyie ma-queen,mnateseka!
 
Unataka kuniambia nimeshamkosa tayari manake nilikuwa najaza mfuko nimtafute duhh huyu jamaa kanivurugia mipango yote.Sasa hivi nilivyo vikusanya ni vipeleke wapi ahhh kwani miss no 3 nipeni jina manake n0 2 yule jamaa aliyekuwa naye kanizidi mawe fanya mchezo basketball nini tena nba kudadadeki zake

Umenifurahisha xana mkuuuu.....
Namba tatu kwa kweli simjuwi... Alaf kwa nini unqpenda wale wa mwaka uleeeee!!!!!
 
Back
Top Bottom