Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu mwamba alishapata tuzo ya msanii wa muziki wa Rege Bongo enzi hizo..alikuwa mnyamwezi sana..anasuka madredi yake toka kitambo.. Alifanya muziki mzuri sana hadi watu tukampenda sana..akawa na...
2 Reactions
10 Replies
427 Views
Nikiwa naangalia hapa mechi ya USA na Belgium nikakukumbuka Kuhusu matangazo niliyoyaona yamezagaa huko mtaani kuhusu show ya Nandy akiwa na wasanii kibao maarufu tu itakayofanyika katika ukumbi...
5 Reactions
26 Replies
686 Views
Ugandan-South African socialite and entrepreneur Zari Hassan, popularly known as Zari the Boss Lady, and her husband Shakib Cham have announced their separation after five years together. The...
6 Reactions
50 Replies
1K Views
Mwanamziki mkongwe maarufu mmarekani ambye nyimbo zake hazichuji Lionel Richie 78, anaendelea vizuri baada ya kukimbizwa hospitalini. Alikuwa akitumbuiza stejini jijini St. Paul Minnesota...
1 Reactions
15 Replies
298 Views
Nauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?; Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe?
1 Reactions
9 Replies
340 Views
Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu. Wasaniii mjitafakari Sana
17 Reactions
163 Replies
9K Views
Mziki wa kuusikiliza kupitia phone ni mtamu sana kuliko redio.
5 Reactions
43 Replies
496 Views
Umofia Kwenu wana JF,kwanza nawapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2014 Kuna jamaa mtajwa hapo juu alitikisa sana miaka ya 2007-2008 kwa utajiri wa hajabu,lakini nikaja kusikia kama alikamatwa...
0 Reactions
58 Replies
18K Views
Zuchu, tulikufahamu kupitia muziki wako, si kupitia masterclass. Kwa muda sasa umekuwa kimya upande wa hits. Badala ya kuja na nyimbo zinazotikisa chati, umehamia kwenye semina. Binafsi, sijaona...
6 Reactions
21 Replies
733 Views
Wawili wao walioana mnamo mwaka 2014 kabla ya hapo walikuwa wachumba wa mda mrefu tangia wapo shuleni Takecia Fatu, adai talaka toka kwa mumewe huyo, akidai kuchoshwa na usaliti ambapo Jay Uso...
7 Reactions
29 Replies
701 Views
Baada ya kujitangaza kuwa yeye ni shoga, Michael Scofield aamua kumuonyesha boyfriend wake wa siku nyingi
0 Reactions
80 Replies
22K Views
Matamasha mawili ya mwanamuziki Nguli wa miondoko ya Rumba nchini DRC Kofi Olomide yamefutwa huko nchini Afrika Kusini kutokana na kukutwa na makosa ya ubakaji hivi karibuni dhidi ya mnenguaji...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Dada yake Diamond, Queen Darleen amesema mama yake mzazi yupo jela Hong Kong, na mara ya mwisho wameonana miaka 10 dah
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa: Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
8 Reactions
153 Replies
7K Views
Isee Nimekua mfuatiliaji wa muziki japo sio kitambo sana huwa napenda kusikiliza miziki yote ila tukija upande wa rap nimekuwa nikiwafuatilia wanamuzik wa comercial au hiphop mabiti au laini kv...
4 Reactions
27 Replies
385 Views
Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa...
33 Reactions
520 Replies
7K Views
IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana...
8 Reactions
204 Replies
5K Views
Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji. Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Mambo vipi? Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake. Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.
3 Reactions
39 Replies
9K Views
Hii ndio historia ya utajiri wake throughout the years. 2026: $1 Trillion 2025: $683 Billion 2024: $400 Billion 2022: $219 Billion 2021: $151 Billion 2020: $74.6 Billion 2018: $19.9 Billion 2016...
14 Reactions
10 Replies
498 Views
Back
Top Bottom