MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996)
Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza...
Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.
Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi...
Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema...
Wadau nilipita Mama Ngoma Health Centre Mwenge na kukuta watu wakilia kuuliza naambiwa Video Queen Masogange amefariki muda mfupi uliopita.
=========
UPDATES:
=========
Video queen maarufu...
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini...
20 plus years later watu bado wanawaenzi hawa rappers waliokuwa legendary.
Biggie the king of flow and style. Pac the lyricist, revolutionarist and expressive.
Baada ya pac kupigwa risasi na...
Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi.
Katika mahojiano haya, mshiriki...
Rapa na Nguli wa Muziki wa Hip Hop, Sean "Diddy" Combs ameongezewa mashtaka sita mapya yakimshutumu kwa unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Wanaume, Wanawake na Mvulana wa Miaka 16
Imeelezwa...
Hello the Bosses and Roses.
Katika kuelekea kuufunga mwaka wetu huu wa 2024, embu twende pamoja katika kuwapa tuzo wasanii wetu wa Muziki kwa kuwa wanafanya kazi kubwa kuhakikisha jamii yote...
Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.
Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.
Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa...
Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala...
Huyu mwanamama sijamsikia muda mrefu...
Nimesikia kibao chake cha Shoga hapa kikanirudisha mbali sana..
Vipi kwa sasa yupo wapi na anafanya nini?
Uzi tayari!
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio...
Katika hali inayojionyesha nia ya kujenga himaya ya utawala kwa siku za baadae, Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemwaga kiasi kikubwa cha fedha mkoani Tabora ili kumsaidia...
HIZI DEGREE ZA HESHIMA KUTOKANA NA MCHANGO WA MTU KWA TAIFA ZIMEKUWA ZIKITOLEWA KWA WANASIASA TU NCHINI KWETU.
KITU NINICHOJIULIZA KWA NINI FANI NYINGINE HAWAPEWI??
JE MTU KAMA BAK ANASTAILI...
"KULIKONI, Jumatano 4, 2008
Na Gordon Kalulunga, Mbeya
Shehena kubwa ya pembe za ndovu imekamatwa mkoani Iringa ikisafirishwa kutoka mkoani Mbeya kupelekwa Dar es Salaam ili ipelekwe nje ya...
Meneja wa @harmonize_tz #Beauty Mmari a.k.a @mjerumani_255 amtambulisha msanii wa kwanza aliyemwaga wino kusimamiwa na lebo ya Konde Music WorldWide
Kupitia ukurasa wa Instagram meneja huyo wa...
Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka!
Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.