Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Salaam wana JamiiForum; Maisha yanaenda kasi sana, vijana wenzangu ambao tulikuwepo bado vijana wakati hizi nyimbo zinatoka embu leo kajiangalie tena kwenye kioo alafu linganisha matendo...
14 Reactions
69 Replies
4K Views
Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Mahakama ya New York, Marekani imekataa ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka...
3 Reactions
6 Replies
875 Views
Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa...
4 Reactions
3 Replies
844 Views
Konki Liquid. Pierre. Mama nakufa. Chii. Ni utambulisho wa mwanamume aliyeishika mitandao ya kijamii wakati huu. Huyu ni Peter Mollel aliyejizolea umaarufu baada ya video iliyomuonyesha akisema...
14 Reactions
282 Replies
46K Views
Habari Wakuu! Miaka ya nyuma huyu jamaa alikuwa anafanya kazi EATV kama mtangazaji kipindi Cha Uswazi, lakini pia alikuwa producer wa Ze comedy Show ya akina Masanja.. Amepotelea wapi Sekion...
2 Reactions
50 Replies
16K Views
Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema " Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/ Hapa alikua akijaribu...
25 Reactions
46 Replies
5K Views
Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala. Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo...
1 Reactions
6 Replies
737 Views
Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake...
25 Reactions
127 Replies
6K Views
Wakuu, Mfalme wa muziki wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA Ali Kiba ameshiriki zoezi la kupiga kura katika kituo alichojiandikisha leo Novemba 27.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu. Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO: Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Msaniii wa muziki wa kizazi kipya (bongo Flava) Abeli Motika alimaarufu kwa jina la Mr .Ebbo mwenye umri wa miaka 37 amefariki dunia mkoani hapa. Msanii huyo amefariki dunia juzi saa nne usiku...
4 Reactions
566 Replies
105K Views
Nimeipenda sana tweet ya Marioo pale mjini X imekaa kigentleman sana. Licha ya Millard Ayo na tawi la CCM Clouds Media kumpa airtime na kumbeba Marioo, lakini dogo kakubali mziki wa Diamond ni...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana Jf, Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika...
24 Reactions
742 Replies
123K Views
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari za weekend Kuna mawazo yamenijia kichwani na nimeona niwashirikishe wadau. Ktk sekta ya burdani, kuna baadhi ya mikoa hapa tz sijasikia ikitoa mwanamuziki hata mmoja kulikoni? Kwa mfano...
6 Reactions
67 Replies
15K Views
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka. Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama...
1 Reactions
107 Replies
122K Views
Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua. Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Mpaka sasa nimeona msanii mmoja tu ndio ampost akipiga kura, Ali Kiba, wengine nyiiiii! Mnajua kulamba nyayo tu na kula hela kupitisha ajenda za kipuuzi linakuja jambo la maana huoni...
1 Reactions
4 Replies
517 Views
Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini Pia anamiliki Niffer Mall Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na...
18 Reactions
121 Replies
13K Views
Back
Top Bottom