Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini
Pia anamiliki Niffer Mall
Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na...
Nimeiangalia video mpya ya Diamond. Kusema kweli pamoja na kashfa mbalimbali zinazomuandama huyu kijana,kwenye game anakaza. Ni video fupi lakini yenye quality na message. Ingawa umri wake si...
Wakuu,
Hawa ndugu zetu sijui maisha ya jela yalipoteza directions zao au muziki wa bendi kutokufanya vyema imewagusa pia! Ila wengi tulitegemea baada ya kutoka jela tungepata hits bandika bandua...
Wakuu,
Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani!
===
Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion...
Wakuu,
Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni!
=====
Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia...
Mwanamitindo na msanii wa muziki Tanzania Hamisa Mobetto amekubali kwenda dubai na mchezaji wa soka wa Yanga Ki Aziz kwa siku nne baada ya kuulizwa kama atakubali kenda nae jana katika usiku wa...
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili
Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya...
"Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon...
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi...
KUANZIA muvi ya “Straight Outta Campton” hadi andiko la kitaaluma (dissertation) la Kristen Bowen, Chuo Kikuu cha North Carolina. Documentaries za “In The Dark”, “Surviving Diddy” kisha “Freak Off...
Harmonize....Sitaaki Kuongelea Zile Haso zake za BSS....zile haso zake za kutoka hadi Diamond kuja kumuona Na kuamua Kumsign Na kuwa msanii wake Chini ya WCB! Alitoa Aiyola...
Peter msechu hili waliokufa kariakoo halijamuuma?
Au kwenye misiba ya viongozi wakifa kuna per diem anapata? Ila akiimba hili la kariakoo hamna chochote kitu?au mwana ni msaka tonge?
Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa...
Google pamoja na wana sayansi wa dunia wamekubaliana kwamba watu marufu funian tangu enzi na enzi Isack newton iko juu ya Yesu, wakati Yesu ni Mungu mbona yanachanganya wakati Mungu huyu huyu ndo...
Sean “Diddy” Combs ametuma barua ya kuzuia filamu mpya inayomhusu Shyne, mmoja wa wasanii wake wa zamani. Filamu hiyo inadai kwamba Shyne alichukua hatia kwa niaba ya Diddy kwenye kesi maarufu ya...
Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai.
Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha...
Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.
Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa...
1.... D voice
Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.