Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Maseto, Apr 8, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.

  Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.

  Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  You better watch your tongue body!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  wewe unaifunza jamii maadili mema? Kama mtu hajafunzwa maadili na wazazi wake asitegemee kufunzwa mtaani na mtu baki tena asiyemfahamu...
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Heri yako wewe umethubutu kuusema ukweli na kusema kweli ndio kauli mbiu ya JF
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  sawa kabisa
   
 6. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu je wewe u msafi mpaka uanze kumnyooshea kidole mwenzio? na kama sio mbona hujafa? kwa kawaida mtu akifa mengi husemwa, kwa kuwa kanumba ni maarufu basi kusemwa huongezeka mara dufu...mimi naamini mimi na wewe ni wadhambi sawa na yeye tu, ni neema ya maulana tupo hai sasa, so si vema kusimama katika nafari ya mungu kutoa hukumu.... leo yeye kesho mimi nawe, maana kila nafsi itaonja umauti
   
 7. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Do you dispute what Mkuu Maseto has said or you want to call a spade a "BIG SPOON"?
   
 8. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huu ***** ...japo umejaa hikma kwa mbali.

  Asie kujua asifuate ushaur au mafundisho yako!.
   
 9. f

  fisadimpya Senior Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  huo ndo ukwel na jamii imehuzunishwa na tukio na siyo kifo,alikua karibu na jamii kuliko rais ila alikua kimaslah na si kuelimisha
   
 10. h

  hamidshaban JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Fuata maneno yake. Matendo yake achana nayo,.
   
 11. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tukiangalia mazingira ya kifo cha Kanumba, ni rahisi kumlaumu Lulu kama muuaji na kwamba kama ndiye amesababisha kifo cha anayesemekana kuwa alikuwa mpenzi wake, yaani Kanumba.

  Tukirudi nyuma tunamuona Lulu akiwa mtoto mdogo sana akiigiza na Kanumba. Kanumba alipaswa kumlea kimaadili Lulu, lakini yawezekana maadili mabaya ya mwalimu wake yamemfikisha kufanya aliyofanya.

  The 'deceased' akiwa kama 'mentor' wa mdogo wake hakupaswa kumuwakia tamaa aliyekuwa kama mtoto kwake. Kama ingelazimika kujenga mapenzi dhidi yake, angefanya busara amuoe kwa utaratibu wa kisheria, kuliko kumtumia kama kitu cha starehe.

  Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, ujasiri wa kimapenzi ambao Lulu amekuwa akionyesha bila shaka yote unatokana na maadili mabaya aliyowekewa na wale waliomlea katika tasnia ya usanii.

  Inawezekana mtoto Lulu amekuwa akiteswa kimapenzi na wale waliopaswa kuwa walimu na washauri, na kwamba kudhulumiwa kimapenzi na kutumiwa kama mtu asiye na thamani kumepelekea kumfanya awe na matendo yaliyo juu ya umri wake.

  'So that is what happen when a man goes to bed with a woman'.
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi wakuu Lulu bado ananyea debe Central??
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haswaa! na siyo central ni oyster bay.
   
 14. k

  kimamii Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila ja;mbo hutokea kwa sababu
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Pole yako.......

  Na unadhani unanijua?
  Pole sana. . . .

  Binadamu ni wepesi sana wa iuhukumu mtadhani nyie ni malaika kumbe uozo mtupu.........   
 16. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ...ukweli ni kuwa kifo chake amejitakia mwenyewe, tulimkabidhi katoto kale akafunze sanaa yeye akakafunza na ngono pia, cha kusikitisha ni kuwa pamoja na kuelimisha jamii lakn yeye hakuwa ameelimika aliwanyanyasa wanawake kwa kuwapiga kama alivyoigiza ktk yellow banana!!!!, ngono zembe zikamuu, katoto alikokalea kamepelekea kifo chako hii yote kwa kuwa alikosa maadili kama baba mlezi, ni laana....mficha donda mauti humuumba
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  wanaume wote tunafanya ngono,bora yeye kwake sisi kwenye ma guest
   
 18. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Huyu alikuwa Muhuni na sasa yatasemwa mwngi, Kwanza inatakiwa Maiti yake ishitakiwe na izikkwe na Polisi. Maana yy ndo amechangia kuwaharibu wasanii wa KIKE akina LULU WEMA kumbe ndo ilikuwa mchezo wake, ili ushiriki kwenye filamu zake kama ni MKE lazima akuonje kwanza ukiwa mtamu ndo umekuwa wake. Hakuwa na mchango wowote katika jamii kutikana na kipato chake nikufanyia NGono ntu na kuamusha tifu na wasanii wenzake na kujiona yyeye ndo yeye katika Bongo hii. Kwanza mm nawashangaa hivi vyombo vya habari vinavyosema eti HUU MSIBA NI WA KITAIFA . KIVIPI YAANI. KANUMBA KAFANYA NN KATIKA TAIFA HILI KUSAIDIA JAMII KUTOKANA NA MAPATO YAKE JAMANI!!!???? Alikuwa Mbinafsi tu na Mhuni tu.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kwanini wanaitwa "kioo cha jamii" ?! Si wangeitwa tu waburudishaji yaishe?
   
 20. G

  GARVEY New Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nataka kurekebisha post yako muvi ya yellow banana hakucheza kanumba mhusika mkuu ni Ray( Vicent Kigosi) na actors wengine.Suala la kuwanyanyasa wanawake kwenye muvi si dhani kama lina uhalisia wowote na maisha halisi ya mwigizaji may be ulete ushahidi mwingine.Pamoja na mapungufu yake kama binadamu mwingine yeyote yule lakini ukweli utabaki palepale kuwa Kanumba alikuwa na kipaji cha pekee katika movie industry ya ki-bongo.Mchango wake ktk tasnia ya filamu bongo utaendelea kukumbukwa milele.R.I.P KANUMBA
   
Loading...