Je bakhresa na mengi wanastaili degree za heshima?

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
HIZI DEGREE ZA HESHIMA KUTOKANA NA MCHANGO WA MTU KWA TAIFA ZIMEKUWA ZIKITOLEWA KWA WANASIASA TU NCHINI KWETU.
KITU NINICHOJIULIZA KWA NINI FANI NYINGINE HAWAPEWI??

JE MTU KAMA BAK ANASTAILI HONORARY DEGREE YA BIASHARA?
JE MTU KAMA MENGI ANASTAILI HON DEGREE BIASHARA???

20090625-sir-alex.jpg
 
Ianzishwe na digrii ya kudharauliwa.. Ili wale wanaofanya unyani kwenye jamii yetu tuwatunuku hiyo shahada ya kudharauliwa.
Hii itasaidia sana kupunguza walanhuzi, walafi wa mali ya umma na wale wote wasio na roho ya uzalendo kwa taifa letu.
 
Ianzishwe na digrii ya kudharauliwa.. Ili wale wanaofanya unyani kwenye jamii yetu tuwatunuku hiyo shahada ya kudharauliwa.
Hii itasaidia sana kupunguza walanhuzi, walafi wa mali ya umma na wale wote wasio na roho ya uzalendo kwa taifa letu.
Hiyo itakuwa sio digirii, digirii siku zote ni heshima... labda uitafutie jina lingine
 
Mengi hastahili digrii ya biashara bali anastahili digrii ya umbea... yaaani yeye anaperform A+ kwenye fani ya umbea tena kwa kutumia vituo vyake vya habari

Good let us keep zawadi kwa kuwa na degree ya kudhauliwa!
 
Nitaunga mkono hoja iwapo nitaoneshwa na kushawishiwa na facts & figures za biashara zao, vitu kama euthenticity ya bidhaa na huduma, mchango wao kwa taifa, kodi wanayolipa, ajira etc. Kinyume cha hapo hawa ni matapeli tu wanaokusanya wasipovuna wakishirikiana na mafioso waliopo madarakani.
 
degree za heshima kwa nchi hii hazina maana kwani wanaopewa wengi unawaona hawastihili sijui ni heshima ipi wanayotunukiwa, kuhusu mengi na bakhressa kwenye jamii yetu hamna cha maana wanachostahili kutunikiwa ni mabepari tu kama wengine.
kampuni zao hazifaidishi wote, ajira ni za undugu na udini, zile donkey work ndio watapewa wengine!
 
Back
Top Bottom