Spika amwaga mamilioni tabora! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika amwaga mamilioni tabora!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by M-bongo, Dec 2, 2008.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika hali inayojionyesha nia ya kujenga himaya ya utawala kwa siku za baadae, Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemwaga kiasi kikubwa cha fedha mkoani Tabora ili kumsaidia kijana mmoja aitwaye Paul Shija ambaye ni katibu wake wa Jimbo anayegombea U-enyekiti wa UVCCM mkoa wa Tabora! habari nilizozipata muda si mrefu ni kuwa pamoja na mapesa hayo Spika anashirikiana na Ismail Aden Rage ambaye pia ni mwenyekiti wa wazazi Mkoa wa Tabora! Taarifa zaidi zinadai kuwa Spika Sita anasaidiana pia na Mkuu mmoja wa Mkoa jirani ambaye ni rafiki yake wa karibu, kwa taarifa hii niombe vyombo vya dola viwe macho 08/12/2008 siku ya J3. taarifa zaidi zinadai kuwa msafara wa wapambe upo njiani kutoka Dar kwenda Tabora ili kuhakikisha kuwa kijana huyo anashinda
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  wot about Kapuya?
   
 3. UramboTabora

  UramboTabora Member

  #3
  Dec 3, 2008
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtoa hoja habari hizi umezidaka wapi ama huna la kupost?sasa unatuambia mamilioni halafu huyataji,je yakiwa ni mamilioni matatu,sasa hayao ndio nini jamani mue na data za ku support ma majungu yenu,yani sasa hivi watu mnapost tu upupu wowowte lol kazi ipo,hebu nenda kamalize homework yako halafu uje na habari kamili kwa sasa siunaona hakuna hata mtu anataka kuchangia maana wanaona ni upupu
   
 4. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Cha kufurahisha kijana huyo wa Spika napewa taarifa muda huu kapigwa chini vibaya na mtoto wa mkulima wa jembe la mkono
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mafisadi wako wengi! sasa hayo mamilioni kama kweli Mr. SIX kayapata wapi?? Adan Rage gani? Yule aliyefungwa kwa kuiibia FAT? Kweli waingereza wanasema "SHOW ME YOUR FRIEND AND I WILL TELL YOU YOUR CHARACTER". Na huyo jamaa aliswekwa lupango kwa wizi ndio CCM Tabora imempa uenyekiti wazazi Mkoa?? MmmmmmmmmCCM inanuka!!
   
 6. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Eti alishinda kesi, akawa si mwenye hatia!!!!!!!!

  Mzee 6, huko Tabora wabunge mna nini??????
   
 7. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naomba nisaidie kiasi cha fedha ambacho unakiita 'mamilioni'!
   
 8. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwl wangu wa darasa la cheke chekea alinifundisha kuwa uwingi unaanza kuhesabiwa baada ya kimoja so hata kama ni milioni mbili basi laweza kuwa jibu lako la msingi
   
Loading...