Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
20 plus years later watu bado wanawaenzi hawa rappers waliokuwa legendary.

Biggie the king of flow and style. Pac the lyricist, revolutionarist and expressive.

Baada ya pac kupigwa risasi na ku-survive 1994 akiwa ameenda kuwasalimia badboy (biggie, diddy, lil cease) pale Quad studio alikuwa katika kipindi kigumu kwa maana alikuwa confused na vitu vingi. Kesi ya ubakaji ambayo ilimpelekea kwenda jela baada ya kupona majeraha ya risasi na pia kusikia nyimbo ya "who shot ya" ilioimbwa na Biggy.

So pac, aliichukulia ile nyimbo kama a direct diss kutoka kwa badboy kana kwamba wenyewe ndio waliompiga risasi then kutoa ile nyimbo kama kumdiss. Hii ilipelekea pac kuwa furious sana na pia kuwa fueled zaidi kihasira na watu waliomzunguka kama Suge Knight ambaye aliemtoa jera kwa dhamana kisha kumsign under deathrow records.

Kwa upande wangu, Badboy walikosea sana kurelease huo wimbo katika wakati huo ambao pac ametoka kupigwa risasi akiwa katika mazingira ya studio yao na pia walishajua minong'ono iliokuwa imeanzishwa kuwaunganisha wao na shooting ya Tupac.

Na hii inapelekea kusema kuwa, itakuwa diddy hata ndio alie release ile nyimbo makusudi ili kupata promo kubwa mtaani kwa maana watu wangetaka kuisikia sana hio nyimbo wakihusunisha na shooting ya pac.

Upande mwingine tena pac alikosea pia, kwa maana aliwahusisha badboy direct na shooting yake. Hakutaka ku-take time na kuunganisha dots ila ali-overreact baada ya shooting yake maeneo ya badboy na kutoka kwa wimbo wa who shot ya baada ya kupigwa kwake risasi. Ila pia Pac alienda too far sana alipotoa diss track ya hit em up akiwadiss vikali badboy na familia zao.

Maybe biggy ndio alimpiga risasi, maybe ni diddy, Maybe ni watu aliowakosea, maybe ni watu waliokuwa na wivu nae.

Baada ya hapo, joto likawa kali sana kupelekea usalama wao kuwa wa mashakani. Kwa maana pac alichukiwa new york na biggy alichukiwa California. Kibaya zaidi hata kuna siku biggy alikuwa ana perform chicago kwa hasira ya kuzomewa aka perform track ya "who shot ya" kwa makusudi. Hii ilipelekea kuongeza joto katika vugu vugu.

Huku pac nae na kundi lake kutoka deathrow waliwaconfront biggy na badboy wakiwa wanatoka katika sherehe za tuzo, hii ilipelekea hadi bunduki kutolewa.

Biggy nae katika kipindi cha redio aliwaambia wana new york wasimame dhidi ya snoop dogg na dogg pound walioenda new york kufanya shooting ya ny ny ikisemekana walikuwa wakiipondea new york. Hii ilipelekea gari ya snoop dogg na dogg pound kupigwa risasi.

Pia inasemekana baada ya kifo cha pac, biggy akiwa ana akifreestyle nyimbo ya long kiss goodnight alimalizia kwa kusema "i aint mad at cha" katika kituo cha redio. Hii watu waliichukulia kama sneak diss kwa pac.

Pac na yeye ilikuwa ni kama kila show alikuwa akiwadiss vikali badboy na watu wanaozunguka kupelekea kuchukiwa na most of the east coast na associates wa biggie ikiwemo na magenge yaliyokuwa yanawalinda badboy.

Kwa utafiti wa hivi karibuni imekuja kugundulika kuwa, diddy aliwalipa watu wa genge la crips kumuua tupac, pia hata baada ya kifo cha pac Suge knight aliwatafuta hitmen kutoka genge la bloods ili kumuua biggie.

Too bad ni kwamba pac na biggy walizungukwa na watu waovu.

Suge knight aliendelea kumfanya pac awachukie zaidi badboy kwa maaana walikuwa washindani wake.

Diddy alimchukua biggy kwenda los angeles kufanya promo ya album yao ingawa anajua kuwa bado usalama wao ulikuwa mdogo. Hii ilipelekea biggie kupigwa risasi hadi kufariki.

.
b8b758eec1104283bf240caf37c81930.jpg
dfcaad0dd3d824c516897d4abe07707d.jpg
 
.View attachment 2572010View attachment 2572011
Facts Mkuu. Sio wale ambao huwa wanadai Pac aliuawa na FBI halafu ukiwaambia walete ushahidi wanaanza kulia.
 
Big alikuwa vizuri ila kwenye uandishi 2pac ni jini..
Jini kwenye kuandika zile yo mazafaka,mkuu 2pac anaimba kuhusu mademu,pombe,umalaya,kamali,disko,kuuwana na mambo mengi lakshari...
THE B.I.G Anaimba haso,maisha,fyucha,mafukara,matajiri,elimu,usaliti,utamaduni wa mtu mweusi na maendeleo yake...
BIGGIE Dah,kamsikilize big halafu urudi hapa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom