Mwemba Burton (Mwijaku) alia kwa uchungu Dkt. Nawanda kubambikiwa kesi ya ulawiti, adai wazazi ndio wanaoumia

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
957
2,249
Niliwaambieni RC Nawanda hana kesi yeyote. Hamana mtu anaweza kuingia kwenye gari kwenye parking za Rock City akafirwa!! Halafu alakubali kuwa amefirwa kweli
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na hatia.
 
Mimi sijaelewa: huyo sliyekuwa RC wa Simiyu ndiye aliyebambikiwa kesi au nani huyo sasa. Maana kuna fursa ya kukata rufaa, kama kutoridhika na hukumu. Na kuna kesi ambazo kwa hatua ya awali kama hii unakuta X anashinda na Y anashindwa, lakini kwa mahama za juu ushindi unaweza kugeuka kuwa kwa Y. Ili mradi kuna ushahidi unaojitosheleza.
 
Sijali kama ana Kesi ama lah...ila kale kabinti kanashida kweli maana naskia kuna mtu anatumikia kifungo Jela cha miaka 30 Kwa ajili ya Kesi za hivi.

Sasa nawaza zile Mil 10 alizo Rudisha heheh
 
Mimi sijaelewa: huyo sliyekuwa RC wa Simiyu ndiye aliyebambikiwa kesi au nani huyo sasa. Maana kuna fursa ya kukata rufaa, kama kutoridhika na hukumu. Na kuna kesi ambazo kwa hatua ya awali kama hii unakuta X anashinda na Y anashindwa, lakini kwa mahama za juu ushindi unaweza kugeuka kuwa kwa Y. Ili mradi kuna ushahidi unaojitosheleza.
Iwapo tu yule binti Tumsime wa chuo albakiza shahawa baada ya kubakwa na zikapimwa DNA ikaonekana ina nasaba na Nawanda ndiyo utakuwa ushahidi wenye nguvu. Hizi zingine ni hadithi za kutunga tu, hakuna Mahakama ya Juu ita zi entetain
 
Wakuu.

Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO:

Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na hatia.

Pia, Soma: Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu
Mwijaku aliwahi kuhusika mara nyingi kwenye kesi za ngono. Kwa nini anahukumu kuwa dkt anabambikiwa?Ana ushahidi wowote?
 
Iwapo tu yule binti Tumsime wa chuo albakiza shahawa baada ya kubakwa na zikapimwa DNA ikaonekana ina nasaba na Nawanda ndiyo utakuwa ushahidi wenye nguvu. Hizi zingine ni hadithi za kutunga tu, hakuna Mahakama ya Juu ita zi entetain
Nimesikiliza taarifa ya habari saa mbili usiku, inaonekana shida haikuwa hiyo, maana mahakama inakubali kwamba ni kweli alilawitiwa. Ila shida ilikuwa "nani aliyemlawiti?" Identification of the culprit, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa habari, ushahidi wake inasemekana haukuunganika vizuri kumtia hatiani mshitakiwa.
 
Not guilty doesn't necessarily mean he is innocent, they just failed to prove beyond reasonable doubt kama ni yeye aliyemlawiti japo ni kweli alilawitiwa ila kalawitiwa na nani? That's a billion dollars question.
Circumstancial evidences pekee hazikutosha kumtia muhuni aliyekuwa mkuu wa mkoa hatiani, ila inaonyesha ile tigo kaila.
 
Hii beyond reasonable doubt unaipimaje!? Au ni uelewa tu wa hakimu atakavyo reason kwa akili yake mwenyewe!?
 
Back
Top Bottom