Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart. Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The music icon says he believes it’s “addictive” and “leads to other drugs” Elton John criticized the legalization of marijuana, saying it’s “addictive” and impairs cognitive thinking. “I...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Anaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye...
14 Reactions
200 Replies
34K Views
Maelezo yasiwe mengi huyo hapo mrembo mmoja anajiita sexy Diva au sio mazee. == Lulu Diva ni msanii maarufu wa muziki Tanzania, anayejulikana kwa sauti yake ya kipekee na uimbaji wake wa...
14 Reactions
192 Replies
11K Views
Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji. In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050 Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake. Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za...
17 Reactions
47 Replies
3K Views
kwa hiyo kukulia hapo kwenu Mburahati basi ndio unajiona wewe mjanja Duh, umejuaje nakaa Mburahati?? Nilijua huna code coz wewe ni wakuja a.k.a mrugamruga,mshamba na limbukeni!
1 Reactions
2 Replies
203 Views
1. Diamond platnumz 2. Marioo 3. Zuchu 4. Jay melody 5. Ali kiba 6. Mboso 7. Harmonize 8. Bilnass 9. Nandy 10. Lavalava Utafiti nimeufanya tangu january.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City Inaelezwa pia Diamond Platnumz...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu...
17 Reactions
64 Replies
6K Views
Mwijaku amewajia juu baadhi ya Wakenya wanaoonyesha chuki na dharau kwa Diamond Platnumz na wasanii wengine wa Tanzania. Kauli yake imefuatia taarifa za kuvunjika kwa show ya Diamond usiku wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Drake anakila kitu ambacho mtu mweusi yoyote anakuonea hila ukiwa nacho. Drake sio Mmarekani, mama yake ni mzungu, hajakulia katika maisha magumu, mademu wanampenda, muziki wake upo global, ana...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu, Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Tayari another man down
48 Reactions
192 Replies
13K Views
Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea...
18 Reactions
96 Replies
14K Views
Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom