Story ya kusisimua kuhusu Jaymoe na Langa

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,282
7,379
Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema

" Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/

Hapa alikua akijaribu kumkumbusha Kaka voda awastue kina langa kua Unga sio mzuri

Langa Ni kama alipanic akaja kujibu

Amani kwa kaka voda milionea/ mwambie moe aache ushoga na umbea/

Kupitia hii line Jaymoe alihuzunika sana kwanini anajaribu kuwakumbusha kina langa kuacha matumizi ya unga ila anatukanwa, Haikuishia hapo

Baada ya Langa kuja kustuka kuwa madawa yanamuharibia akaanza kujirudi akatoa project kadhaa na zikafanya vizuri tuu

Mfano Am supplying & Rafiki wa kweli na Kifo jela ah taasisi

Sasa kipindi langa anajitafuta kurudi mainstream baada ya kutoa Am supplying , Kipindi anafanya ngoma ya Rafiki wa kweli ,iliyofanyiwa production na P funk majani,akawa anataka kwenye hii ngoma ya Rafiki wa kweli amshirikishe Jay moe , Lengo ilikua ni kuwaonyesha watu kuwa yeye na Moe hawana matatizo

Alivomtafuta jaymoe ikashindikana coz jaymoe alikua bado ana hasira kwann Langa alimtukana kwenye ile line ya

"Amani kwa kaka voda milionea/ Mwambie moe aache ushoga na umbeya"

Bhas ikabidi langa akomae mwenyewe ngoma nzima ,na ilivotoka ilifanya vizuri sana,

Ikabidi Langa kwenye Ngoma ya Kifo,Jela au taasisi aliweke sawa hilo swala

Kuna line anasema

"Amani kwa kaka voda milionea/ Mwambie Moe sili poda wala mmea/

Tukirudi kwa Jay moe, anakiri alivopata habari kuwa Langa amefariki, Alilia sana, na sababu kuu iliyomfanya Moe akalia ni kwamba kipindi Langa yuko hai alijaribu kumtafuta moe mara kadhaa ili wamalize tofauti zao ,ikiwa ni pamoja na kushirikishwa kwenye wimbo wa Rafiki wa kweli ila kiburi chake kikapelekea mpaka Langa anafariki hawaja maliza tofauti zao

Moe anasema hiki kitu kinamuuma sana.

Moja ya line kali nnazozikubali kutoka kwa the late langa ni

Wananichekea usoni kisogoni wananisema/
Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/

Rest in peace Lyrical And Naturally Gifted African (LANGA)
 
👊👊👊 Bless
 
Sijui kwa nn Langa namkubali saana na hii story kidogo intoe chozi ila all in all aliondoka mapema saana akijaribu kujiokoa ikiwa too late na hili ni somo kwetu sisi vijana.
 
Langa ni jina lake kabisa anaitwa Langa Kileo... Japo alikuja kulifafanua kua LYRICAL AND NATURAL GIFTED ARTIST
Shukran mkuu...lakin mtoa mada hapo kwenye Artist kaweka African sasa bado sijajua lipi ni lipi..!
 
Kuna jambo la kujifunza hapa hii dunia tunapita halafu ss wanaume hatuna matatizo hayo!!!
 
Kwanza naenda kwa pusha
Nanunua mapuri ganja
Baada ya kuvuta
Nakula vizuri nyama
Kilo ya kuku mbuzi au hata ng'ombe sana
Nikishashiba nahamia kwenye pombe
Mitungi nna kreti sigara nna pakti
Kamwe haunikuti nimelala kwenye pati
Huwa siingii kati naegemea ukuta
Nakamata viuno vilivyolegea mfupa
Na huyu akichomoa mi namchomekea yule
We wanakuchuna mi wananigea bure
Mchunge mke nna sumu kama nge
Niko full ka'ikulu sipigi kazi za nje
Namwaga radhi
Nafanya vitukoo
Naspend hadi nachana mifukoo
Simsumbui mtu mi nna starehe zangu
Maisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu...!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom