🤣 Hivyohivyo mkuuKukenyua nini, makende?
Ni nani uyo uko daslama!?Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua.
Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
View attachment 3165105
Kutabasamu ni kucheka bila kutoa sauti. Kukenua ni kulazimisha tabasamuSina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua.
Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
View attachment 3165105
Kutabasamu ni kuonyesha sura nzuri ya furaha bila kufungua mdomo.Kutabasamu ni kucheka bila kutoa sauti. Kukenua ni kulazimisha tabasamu
KUKENUASina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua.
Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
View attachment 3165105