Msanii Baghdad aliwahi kusema kuwa wazo la kipindi cha The Bartender lilikuwa ni lake na mwanzo wazo lilikuwa TheCounter au The Bartender na alilisajili COSOTA na kubaki na hatimiliki yake...
Watu hao ambao ni marehemu ndio watu ambao mimi nawahusudu mno na nikiwaona nikipokuwa mtoto ,kijana na niliwaona japo kidogo nilipokuwa.
Mungu azidi kuwarehemu na kuwaweka mahali pema peponi.
Amina
Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa...
Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri...
wa Muziki wa #HipHop, Drake ameanza kuchukua hatua kisheria dhidi ya Lebo ya Universal Music Group (UMG) na Mtandao wa Spotify akidai kampuni hizo ziliendesha kampeni isiyo halali ya kuupendelea...
Nauliza Raymond Mshana yupo wapi, nilikuwa nakubali Sana uwepo wake pale The Switch Wasafi FM, siku hizi naona makelele tu. Kama yupo kituo chochote cha redio naomba mnifahamishe
Maslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni..
Lugumi anaweza asiwe...
Kukaa uchi au nusu utupu katika tasnia ya burudani umekuwa suala la kawaida, hasa miongoni mwa wasanii wa muziki na filamu. Mara nyingi, tunaona picha na video zao wakiwa uchi au wamevaa nguo...
Mvutano Kati ya Drake na Marapa Dmx, Mos Def, Joe Budden na Kendrick Lamar
Mvutano kati ya Drake na marapa wengine umekuwa sehemu ya historia ya muziki wa hip hop, ukionyesha jinsi ushindani na...
Msanii maarufu wa Afrobeats, Davido, ameibua gumzo baada ya kutoa tahadhari kali kwa Waafrika walioko ughaibuni na Wamarekani Weusi wanaopanga kuhamia Afrika. Katika mahojiano ya hivi karibuni...
Za ndaaaani kabisa
Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media.
Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana...
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani
Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia
Napenda...
Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila...
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa...
Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
Picha mbalimbali za Jenifa Lopez akiwa ndani ya Kingdom ya Waalab wa Saudi Arabia
Naona kumeanza kuchangamka mambo ni kwa ushahidi Uislam wao waumepereka wapi?
Sikiliza wimbo wa Songa wa 2016 unaitwa "Hisia za Moyoni" amefungua wimbo na hii line Imani ni bora kuliko dini
https://youtu.be/ViQcp8HNqBc?si=yufnMpLDywK2N6Zp
Kama ulitarajia kumuona diamond platnumz mwaka huu akifanya show Dar Es Salaam una kila haki ya kusahau.
Diamond yuko booked mpaka mwaka 2017, hata mwaka mpya atauona akiwa kwenye Tamasha Lusaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.