Katika hali isiyo ya kawaida, mkuu wa kaya amewaacha makada motomoto wa ccm mitandaoni ktk baraza lake la mawaziri ndg Lemutuz,dada Mange na mnyange Wema.Katika nyakati tofauti makada hao...
Watu wengi wakiwemo mashabiki wa Wema na Diamond walitarajia kumuona pamoja Wema Sepetu akimpa kampani mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye alikuwa anawania tuzo ya BET Awards 2014 huko Los Angels...
Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.
Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D...
Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake.
Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda...
Daah jana pamenuka Instagram team domo walipaniki kinoma baada ya sepetunga kumpa shot out king kiba akiwasihi watu waende escape moko ili wakajionee tofauti ya mwanamziki ma msanii na kati live...
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola",
Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy...
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo Jide au Lady Jaydee kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya Kansela wa Ujerumani...
wakuu kiukweli MZEE MCHOPU kwa umri wangu huu nimetokea kuupenda huu wimbo wenye ladha ya kimagharibi lakin ukajikuta upo TANZANIA
ila kale kamdundo kake loo salalaa!
Mtayarishaji yule ni mjanja...
Wadau,
Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni...
Habari wadau,
Sijapendezwa na Tambo za Huyu masanja makandamizaji,japo Mungu amamempa nyumba kadhaa,magari kadhaa na mashamba ya mpunga,asijione ndio maisha kayapatia,Kuna watu walikuwa na pesa...
Huu ni upuuzi uliopitiliza wakati watu wakitafuta mahala pa kwenda kula bata usiku wa christmas maeneo ya Korogwe kumetokea tukio la kuudhi na kukera kwenye ukumbi ujulikanao kama Mamba club...
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko...
Tu wazima fans' Wa team no stress.
Wale Wa kwa Showz ya Leo ndani ya mjengo DAR LIVE-TONIGHT.Tutakuwa na DIAMOND P.
Utacomment kinachoendelea umo ndani kwa Whitehouse DARLIVEBABY.
Now...
Hatimaye mchekeshaji maarufu Africa mashariki Eric Omondi ameachia Video yake alio ifanyia remix nyimbo ya Diamondplatnumz kaimba kwa dakika mbili na sekunde kama 39 hivi lakini nimependa...
Miss Philippines Pia Alonzo Wurtzbach akionyesha mshituko baada ya kutangazwa kuwa ni yeye ndiye ameshinda.
Miss Universe2015 imezua kituko cha Mwaka baada ya Mc Steve Harvey kumtangaza kutoka...
Jamaa naona kaenda kuwaambia wapiga kura waliomnyima Ubunge kwamba hakuwa na shida ya pesa ila uwakilishi... Ila wachagga wabishi sana, huyu jamaa angekuwa anagombea Mtimbwilimbwi angepita kwa...
Kati ya nagharamia kutoka kwa king zamunda na mkali wa masauti Bella, na hii utanipenda kutoka kwa king of jungle aka simba mondi ipi ni habari ya mjini
Kwa wapenzi wa muziki, tukiweka figisu figisu pembeni.
Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kumpa pongezi Ally Kiba kwani kwa kiasi fulani amajitahidi kujibu lawama kwa vitendo kwenye hii video...