Saving account
Member
- Jun 28, 2016
- 21
- 22
Mmmmhhh!!! Hivi majuzi Diamond plutnumz (Nasib Abdul...Baba Tiffah)alioneshwa kwenye kipindi cha E-VIP kinachorushwa na channel ya kimarekani ya E! namba 124 kwa king'amuzi cha dstv. Kipindi hicho kimekuwa kikirudiwarudiwa mpaka sasa na wataendelea tu kukirudia cause Diamond anawapa viewers wengi tu ninavoamini kwani alikipromote kwenye account yake ya insta ili watu wakiangalie.
Nimeandika hii thread baada ya kushtushwa na information iliyoandikwa na channel hiyo juu ya diamond... imediriki kusema "....Diamond tells HER story in the music..........". Hivi hizi ni makusudi au bahati mbaya? Nilipoona siku ya kwanza nkajua watajirekebisha ila mpaka muda huu, info hiyo imebaki hivo hivo(inasomeka kwenye info DSTV).
Sijui wanatafuta nini hawa, nadhani hawawajui #teamplatnumz.....and above all mi nadhani Diamond can sue these people to get money cause kama ni kiingreza wanajua.
Hizi ni dharau, mbona wasikosee za kina Chris Brown, Lil Wayne etc?