Why kokoro imewah 1mil view kuliko Muziki ya darasa

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
838
1,358
Hahahahahahahahaha jamani najaribu kufwatilia kwa mbali na kwa karibu hizi hit track mbili yani kokoro ya mavoko na muziki ya darasa, sasa kuna kitu kinanishangaza kokoro imetumia siku 10 kufika 1 milioni view wakati mpaka sasa muziki ina siku 15 lakini haijafikisha 1 milioni view.

Pia hizi nyimbo zinapisha siku moja kutoka yani moja ilitoka tarehe 22 nov na ingine tarehe 23.

Uchawi upo jamani, nyimbo ya Darasa imekuwa namba moja katika trending music tz you tube zaidi ya wiki moja, lakini kokoro hata top teni ya trend haipo lakini inamkimbiza view muziki wa darasa,

jibu ni moja tu nyimbo ya mavoko inaangaliwa sana na sehemu mbalimbali duniani ila nyimbo ya mziki inaangaliwa sana tanzania, so kiufupi watanzania wengi wanaiangalia sana muziki ya darasa kuliko wanavoiangalia kokoro ya mavoko conversely Dunia inaiangalia sana kokoro kuliko inavoiangali muziki ya darasa.

All in all , Hizi track zote ni kali, japo moja ndo imeingiza pesa nyingi kuliko ingine yani kokoro imeuza sana.

Nataka maoni ya watu kwanini nyimbo inatrend lakini inashindwa kuipita view nyimbo ambayo haitrend. Au you tube wanaupendeleo, kwani you tube ni ya clouds, jamani tuchangangie maoni, mimi ni Team Tanzania
 
Strategic Plan walizokua nazo WCB nadhani ndio zimewapandisha mpaka hapo walipo, na Fan-Base waliyo nayo WCB ni kubwa pia maana wale wako Wengi, utakuata Diamond anapiga Promo, Mavoko nae Anapiga Promo, Harmonize nae Promo, Babtale Promo, Salam nae Promo duuuuuuuuh! Ukitaka Kuamini ingia katika Bio zilizoko kwenye A/C zao mitandao ya kijamii utakuta link ya Kokoro. Darasa yuko yeye Tuu na ngoma yake yenye UKALI wa hali ya juu:D:D:D.
 
Waje wajibu wenyewe.... Wengine tukitia neno hàpa twaitwa haters......
 
Wakuu achaneni na kelele za mitandaoni, siku hizi muziki uko wazi kwa kila mtu kujua nani ni nani na kipi ni kipi, MUZIKI NI PESA,KWAHIYO ANAYEPIGA PESA NYINGI NDIO MWENYE MUZIKI MZURI,Kanuni hii hapa ukibisha lete hoja zako. Kama muziki wako mzuri >>>> utakuwa na mashabiki wengi >>>>utauza sana na utapiga shoo nyingi >>>> ACCOUNT YAKO ITAJAA MIHELA,SIO UNAAMBULIA VITUKO VYA MADEREVA WA DALADALA WALIOPIGA VIROBA AMBAO HATA MKITO.COM HAWAIJUI WAKANUNUE KAZI YAKO. ( KUMBUKA, MSANII WIMBO MZURI KWAKE NI ULE ALIOINGIZA MIHELA,HIZO NYINGINE KELELE. )
 
Strategic Plan walizokua nazo WCB nadhani ndio zimewapandisha mpaka hapo walipo, na Fan-Base waliyo nayo WCB ni kubwa pia maana wale wako Wengi, utakuata Diamond anapiga Promo, Mavoko nae Anapiga Promo, Harmonize nae Promo, Babtale Promo, Salam nae Promo duuuuuuuuh! Ukitaka Kuamini ingia katika Bio zilizoko kwenye A/C zao mitandao ya kijamii utakuta link ya Kokoro. Darasa yuko yeye Tuu na ngoma yake yenye UKALI wa hali ya juu:D:D:D.
Hapa pia darasa ajifunze ..
sjui kama ana management lakin anatakiwa sasa anatakiwa ajiweke level flan ambayo he must have management yenye mipango madhubuti
 
Hahahahahahahahaha jamani najaribu kufwatilia kwa mbali na kwa karibu hizi hit track mbili yani kokoro ya mavoko na muziki ya darasa, sasa kuna kitu kinanishangaza kokoro imetumia siku 10 kufika 1 milioni view wakati mpaka sasa muziki ina siku 15 lakini haijafikisha 1 milioni view.

Pia hizi nyimbo zinapisha siku moja kutoka yani moja ilitoka tarehe 22 nov na ingine tarehe 23.

Uchawi upo jamani, nyimbo ya Darasa imekuwa namba moja katika trending music tz you tube zaidi ya wiki moja, lakini kokoro hata top teni ya trend haipo lakini inamkimbiza view muziki wa darasa,

jibu ni moja tu nyimbo ya mavoko inaangaliwa sana na sehemu mbalimbali duniani ila nyimbo ya mziki inaangaliwa sana tanzania, so kiufupi watanzania wengi wanaiangalia sana muziki ya darasa kuliko wanavoiangalia kokoro ya mavoko conversely Dunia inaiangalia sana kokoro kuliko inavoiangali muziki ya darasa.

All in all , Hizi track zote ni kali, japo moja ndo imeingiza pesa nyingi kuliko ingine yani kokoro imeuza sana.

Nataka maoni ya watu kwanini nyimbo inatrend lakini inashindwa kuipita view nyimbo ambayo haitrend. Au you tube wanaupendeleo, kwani you tube ni ya clouds, jamani tuchangangie maoni, mimi ni Team Tanzania
Darasa mwisho wake ni Tanzania......
 
Hapa ni suala la management, angekuwa na management kama Rockstar ya Ali kiba angekuwa mbali sana
 
Back
Top Bottom