Nawasalim , wana bodi hasa katika hili jukwaa la celebrities,
Ni muda mrefu toka niache kufatilia muziki huu wa kibongo hii ni kutokana na kukosa mashairi yenye kuvuta hisia kwa jamii ,Mara ya...
diamond is very luck yooo ex boyfriend wa zari analia
The best revenge you can get on your ex is to move on and let them see you happy with someone who treats you better than they did.
Farouk...
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's...
Na: Edo Kumwembe.
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu yako katika dakika za majeruhi katika mechi muhimu...
Najua wengi mlikuwa Mkisubiri hili jwa hamu kujua tadhimini nzima ya show mbili za Diamond na Team nzima ya Wasafi zilizo Fanyika Iringa na Dar! Sasa leo nimekuleteeni tathimini ya show zote mbili...
ALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA
,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me...
Katika kile kinachoonekana viongozi wa serikali kuvutiwa na jinsi Diamond na lebel yake WCB wanavyoibadilisha tasnia ya muziki wa Tanzania kuwa fursa ya kibiashara na kazi rasmi, Mh. Waziri wa...
Yule mwanamichezo maarufu wa Marekani Serena Williams amepata nchumba.
Hiii ni habari mbaya kwa wale marafiki zangu wa Tanzania walioko huko ambao wengi walitarajia hako kanafasi.
Hatahivyo...
Yule wa WCB. Kiukweli naye huyu sikjua katokea wapi, mara nikamwona kasajiliwa na Wasafi. Nikimsikiliza nasikia kile ninachopenda kusikia, yaani sauti nzuri ya uanamuziki. Nikajisemea kuwa Diamond...
December 31. 12. 2016
10 of the biggest African tracks of 2016: Tekno,Diamond Platnumz ,Babe Wodumo and more
From Diamond Platnumz’s update of a Tanzanian classic to an ode to dirt-cheap South...
Inahitaji nguvu ya ziada kufikisha views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube.
Tumekuandalia orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo...
Wasanii wengi wa Bongo Flavour wameamua kujiunga na kufanya music pamoja kama makundi. Ni jambo jema na zuri kabisa. Tunapata music mzuri wenye radha nzuri tofauti kutoka kwao. Wanasaidiana na...
Edo Kumwembe
Chid Benzi anatushangaa tunavyomshangaa
Na Edo Kumwembe
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu...
RIP JOHN au BIG JOHN ni Mwigizaji toka Bongo movie na filamu yake ya mwisho kama wataka kumjua ni BARMED ya Nice na Irene Owoya aliact kama Boss wa bar ambae alimpa ukimwi Irene Uwoya nazani...