Zuchu, fanya muziki, acha kuwa 'Motivation Speaker'

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,704
Reaction score
9,932
1001636116.jpg

Zuchu, tulikufahamu kupitia muziki wako, si kupitia masterclass.

Kwa muda sasa umekuwa kimya upande wa hits. Badala ya kuja na nyimbo zinazotikisa chati, umehamia kwenye semina.

Binafsi, sijaona duniani msanii mkubwa anayekuwa kwenye peak ya kazi yake halafu akaanza kuuza maneno kama chanzo kikuu cha mapato.

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba wengi wanaolipia hizo masterclass ni vijana wanaojitafuta. Wanatoa fedha zao wakiamini zitabadilisha maisha yao, lakini ukweli ni wanaondoka na maneno mazuri tu bila fursa ya maana.

Kama kweli unataka kusaidia wasanii chipukizi, wape platform. Diamond alikupa platform akukuuzia maneno.

Waunganishe na producers, directors, promoters, record labels na wadau wa muziki. Wasaidie kupata nafasi za kurekodi, kushoot video au kufanya collaborations. Huo ndio msaada sio maneno kwenye cameras.

Hata marehemu Ruge kupitia Fursa, aliamini katika kukuza vipaji, kufungua milango na connections, si kuuza matumaini feki kwa viingilio.

Mashabiki wanataka kumuona Zuchu wa Sukari, Kwikwi, Nyumba Ndogo na zile hits zilizokuwa zinatawala redio na majukwaa.

Angalia wasanii kama Tems, Ayra Starr, Tyla na Tiwa Savage. Wanaendelea kutoa hits, kufanya shows na kuiwakilisha Afrika kwenye majukwaa makubwa duniani.

Tunataka na wewe urudi huko.

Rudisha nguvu kwenye muziki.

Rudisha ushindani.

Rudisha heshima ya WCB kupitia kazi, si kupitia mdomo.
 
View attachment 3616391

Ushauri mzuri.
 
Kaamua kuwapiga hela madogo kwa ahadi uchwara za kuwatoa. Inasikitisha sana.
 
Mimi mpaka leo bado najiuliza kweli Harmonize alitamani kabisa kumfira Ibra mpaka akamwita chumbani? Yule bwana bulaza hafai kabisa
 
😅😅😅😅
Sasa wewe ID hii... unayeteteaga mume wake na yote yake.. Na kutoka majasho humu.. Miaka yote ukiwa humu

Leo shem/wifi/mke kakukosea nini? 🤣🤣🤣🤣

Ndoa twambie yapi yamebadilika?
Matundu yako ya mwili yaki miss kuchokonolewq uwa unaropoka sana
 
Zuchu, tulikufahamu kupitia muziki wako, si kupitia masterclass.

Kwa muda sasa umekuwa kimya upande wa hits. Badala ya kuja na nyimbo zinazotikisa chati, umehamia kwenye semina.

Binafsi, sijaona duniani msanii mkubwa anayekuwa kwenye peak ya kazi yake halafu akaanza kuuza maneno kama chanzo kikuu cha mapato.

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba wengi wanaolipia hizo masterclass ni vijana wanaojitafuta. Wanatoa fedha zao wakiamini zitabadilisha maisha yao, lakini ukweli ni wanaondoka na maneno mazuri tu bila fursa ya maana.

Kama kweli unataka kusaidia wasanii chipukizi, wape platform. Diamond alikupa platform akukuuzia maneno.

Waunganishe na producers, directors, promoters, record labels na wadau wa muziki. Wasaidie kupata nafasi za kurekodi, kushoot video au kufanya collaborations. Huo ndio msaada sio maneno kwenye cameras.

Hata marehemu Ruge kupitia Fursa, aliamini katika kukuza vipaji, kufungua milango na connections, si kuuza matumaini feki kwa viingilio.

Mashabiki wanataka kumuona Zuchu wa Sukari, Kwikwi, Nyumba Ndogo na zile hits zilizokuwa zinatawala redio na majukwaa.

Angalia wasanii kama Tems, Ayra Starr, Tyla na Tiwa Savage. Wanaendelea kutoa hits, kufanya shows na kuiwakilisha Afrika kwenye majukwaa makubwa duniani.

Tunataka na wewe urudi huko.

Rudisha nguvu kwenye muziki.

Rudisha ushindani.

Rudisha heshima ya WCB kupitia kazi, si kupitia mdomo.
IMBEJU
 
Back
Top Bottom