Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana...
10 Reactions
484 Replies
82K Views
Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani...
35 Reactions
132 Replies
3K Views
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
27 Reactions
432 Replies
29K Views
MILENIA ya tatu ilikuwa inausabahi ulimwengu. Ni mwanzo wa Karne ya 21, hii ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar. Mwaka ni 2000, Joseph Kibweteere alishazingua kinoma Uganda, alisababisha vifo vya...
3 Reactions
5 Replies
188 Views
Mwanzilishi wa harakati za Piga Kambi Utalii wa Ndani, Lisa Karl Fickernscher ambaye alikuwa ni mke wa msanii wa Hip Pop hapa nchini Mabeste amefunguka kiundani kuhusu maisha yake na aliyekuwa...
12 Reactions
611 Replies
70K Views
Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte. Katika picha hii ni muonekano wa...
5 Reactions
83 Replies
2K Views
My best African artist of all time 1. Lucky Dube 2. Koffi olomide 3. Fally ipupa 4. P square 5. Diamond Platnumz
6 Reactions
102 Replies
908 Views
Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia...
1 Reactions
9 Replies
415 Views
Anaandika MUME (Phares Magesa). Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi...
22 Reactions
162 Replies
7K Views
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab. Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda...
15 Reactions
79 Replies
2K Views
Zamani ilikuwa kawaida sana kwa mwanafunzi kurudia shule baada ya kutokufanya vzuri matokeo ya darasa la saba. Kwa kawaida mtu alirudia darasa la 5, 6 au 7 lakini si vingine. Baada ya kumaliza...
9 Reactions
7 Replies
339 Views
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye...
3 Reactions
22 Replies
734 Views
Naomba mwenye mashairi ya wimbo huo pamoja na historia yake please ni WA kihaya.
1 Reactions
4 Replies
152 Views
Habari wakuu, Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
11 Reactions
65 Replies
9K Views
Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe...
3 Reactions
15 Replies
599 Views
Dah Nimeona mitand a o mbali mbali wanaamnanga msanii kaenda na grp lake wakanywa kataka kuondoka kutambaa cheupe bila Kulipa Kama mmefikia huku wasabii mnashauriwa jamaan jamani ishini maisha...
5 Reactions
14 Replies
462 Views
  • Redirect
Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte. Na hizi ni picha za kwanza baada...
0 Reactions
Replies
Views
Hvi unadhani Kati ya hawa maproducer wawili Laizer na Abbah Ni Nani ndo mkali wa kutengeneza beats? Binafsi mi namkubali Abbah Process, huyu mwamba Ni hatari Sana yaani midundo yake Ni noma...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Diamond amefunguka kuwa Mali zake amesaini kwa jina la Mama yake wakati akisherekea sikukuu ya kuzaliwa ya mama yake Mama Dangote na amesema yeye ndio amenifanya Watanzania wanitambue amenipigania...
13 Reactions
76 Replies
2K Views
Back
Top Bottom