Salaam Wakuu,
1. Ni aibu sana.. Msanii unaingia kuimba unapiga kelele. Kwa kelele hizo, pumzi zinakata hata hajamaliza Beti ya kwanza.
2. Wanalazimisha watu kuweka mikono juu, kupiga vigeregere...
Aliyekuwa mwigizaji wa filamu za utupu (zaidi ya filamu 100), Jazmine Cashmere, ametoa ushuhuda kwa namna Yesu alivyobadilisha maisha yake, na sasa ameamua kuokoka na kumtumikia Mungu pekee...
Bongo Star Search 2026 - Msimu wa 16 🔥
Sasa inaitwa CRDB Bank Bongo Star Search 2026
Mambo muhimu ya msimu huu:
1. Theme & Zawadi
Theme: "Next Level Revolution" + "Beyond Borders"
Mshindi...
Leo nilikuwa nasikiliza ngoma za early 2000's
Hawa eastcoast team walikuwa wanajua ngoma zao zina hisia flani ambayo naimiss kwenye ngoma za siku hizi mfano
1. Hii leo- Gk ft F.a na AY
2. Kosa...
1. Hasheem Thabeet net worth: Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who has a net wroth of $8 million.
Hasheem Thabeet was born in Dar es Salaam, Tanzania in February...
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day...
Wahenga salaam,
Nakumbuka zama hizo Sinta aliibukia kwenye uigizaji enzi hizo na ray Kigosi , ghafla Shigongo naye akadondoka na magazeti ya udaku, miaka hiyo penzi la P Didy na j lo linatamba...
Vigezo vyangu
A. Mashairi
B. Ujumbe
C. Heshima ndani ya Mashairi
D. kucheza na jukwaa
E. Muda wa Mziki wake kudumu
Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa...
Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania.
Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa...
Utafiti huru ulofanyika Twitter kwa siku 5 mfululizo ambao uliuliza:
Kati ya wasanii wafuatao, nani alikuwa maarufu zaidi au nani kawa maarufu zaidi kwa muda aliowika?
Na matokeo yakawa high...
Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva.
Albam yake ya kwanza, ‘Nini Chanzo’ pamoja...
Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature.
Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha...
For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga...
Huyu mwamba alishapata tuzo ya msanii wa muziki wa Rege Bongo enzi hizo..alikuwa mnyamwezi sana..anasuka madredi yake toka kitambo..
Alifanya muziki mzuri sana hadi watu tukampenda sana..akawa na...
Nikiwa naangalia hapa mechi ya USA na Belgium nikakukumbuka Kuhusu matangazo niliyoyaona yamezagaa huko mtaani kuhusu show ya Nandy akiwa na wasanii kibao maarufu tu itakayofanyika katika ukumbi...
Ugandan-South African socialite and entrepreneur Zari Hassan, popularly known as Zari the Boss Lady, and her husband Shakib Cham have announced their separation after five years together.
The...
Mwanamziki mkongwe maarufu mmarekani ambye nyimbo zake hazichuji Lionel Richie 78, anaendelea vizuri baada ya kukimbizwa hospitalini.
Alikuwa akitumbuiza stejini jijini St. Paul Minnesota...
Nauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?;
Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.