Nimekaona juzi kamevaa dela haaaaaaaah Noma sanaNauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?;
Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe?
Pamoja na uzee wangu, nimecheka kama mazuri. 😂😂Unazungumzia kale Kazezeta ka kike.!
Niepushe na ujeuri wangu ila ndio ukweli laana yetuPamoja na uzee wangu, nimecheka kama mazuri. 😂😂