HahahaKama haujataja pombe huu uzi ni batili
Utakuta mleta mada anamaanisha earphone!Phone una maanisha simu?!
Yaani simu iwe na mziki mtamu kuliko redio tangu lini?Mziki wa phone ni mtamu sana kuliko redio.
Tayari nshajiongeza nimekuwa mkubwajiongeze.
Mziki wa kuusikiliza kupitia phone ni mtamu sana kuliko redio.
Usisahau kulike na kusukurubu for more Disgusting tips kama hiziMtu wa aina yako ni wa kumpuuza.
pole.
Phone una maanisha simu?!
Utakuta mleta mada anamaanisha earphone!
Iweke hapa tuenjoy sote maana kuna wimbo wake nautafuta ila siujui kwa jinaNiko nasikiliza Bane ya Oliver N'goma
Asikwambie mtu ni hili vibe ni kama nimerudi miaka ya 90 😂
PhoneHeadphone or earphone😜
Mleta mada anasema tangu Leo asubuhi.Yaani simu iwe na mziki mtamu kuliko redio tangu lini?