Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Leo February 8, 2017 Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi lake bado linamshikilia Wema na wenzake saba ambao walikamatwa na vielelezo na kuwa jalada...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
leo diamond wetu amepost picha hii ikiwa na maneno the UK top 10 biggest songs of the week . sio kweli! wimbo wake haupo kwenye list ya nyimbo kali uk ukienda kwenye hyo website list ni kama...
13 Reactions
94 Replies
15K Views
Habarini Wadau Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu? Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya...
14 Reactions
121 Replies
22K Views
Habari zenu wanajamvi ? Kwa upande wangu mm ni mzima tu bukheri wa afya , Leo nataka tuangalie baadhi ya tabia za ajabu za team kiba kwa diamond 1) Team kiba wengi wanaongoza kwa kum follow...
14 Reactions
72 Replies
12K Views
1. Hajamfunga mkanda mtoto. 2. Anacheza mziki akiwa anaendesha na kuhatarisha maisha ya watumiaji wengi wa barabara pamoja na aliowapakia. Wanaosimamia sheria.. Raisi alishasema hakuna cha...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin. Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza...
8 Reactions
317 Replies
110K Views
Kuna mdada mmoja anatangaza Clouds Fm kwenye XXL segment ya 411 story za wasanii wa ulaya lakini mda mwingi hua anapiga makelele na kucheka bila kueleza habari kwa ufasaha unacheka cheka sana...
2 Reactions
57 Replies
17K Views
Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul makonda. Askari 9 wamekamatwa wakishirikia na wauza...
14 Reactions
699 Replies
132K Views
Picha aliyopost Ommy Dimpoz ikiashiria kuwa huyo ndiye mpenzi wake Ommy Dimpoz alisema hayo kwenye kipindi cha E-Newz cha EATV wiki kadhaa zilizopita, Ommy alifunguka na kuthibitishakuwa kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nimeyasikiliza maelezo ya kamanda siro Leo wakati akitoa feedback kuhusiana na operesheni iliyokua ikiendelea ya madawa ya kulevya! Kamanda katika maelezo yake alitaja umri wa Wema sepetu kuwa...
2 Reactions
35 Replies
9K Views
Habari wadau hope mko poa Wakuu Naimani wapo wadau wa sanaa humu wanao penda kuwekeza na kuiendeleza sanaaa Yatanzania Nawaomba mtuangalie nasisi wenye uwezo katika swala zima lasanaa lakini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa watangazaji wamepotea ghafla wako wapi Mwenye kujua
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni shoga anayeigiza sinema katika tasnia ya sinema ya Nollywood nchini Nigeria amefariki ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika Hospitali moja...
0 Reactions
124 Replies
57K Views
Wakuu kwa ninachokiona kwa sasa kwa hili tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya ni kutaka kuondoa attention ya watu kuhusu; 1)matokeo mabovu ya wanafunzi wa kidato cha nne...
8 Reactions
61 Replies
7K Views
Familia ya msanii wa bongo fleva Q Chilla wameamua kuingilia kati mkataba wa msanii huyo na kusema mkataba huo unamfanya aishi maisha magumu kiasi cha kushindwa kuchangia mambo yakifamilia...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum...
6 Reactions
137 Replies
21K Views
Jamani nyie mastaa mna vituko! Kutwa kutuvalia vinguo vya ajabu insta kumbe mnajuaga kuvaa kiheshima? Haya wasalimie huko, usisahau kumtaja teja mwenzio Young dee. . ======== Katika hatua...
2 Reactions
63 Replies
18K Views
Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na...
7 Reactions
95 Replies
17K Views
Kwako mfwatiliaji wa mabingwa wa kuchekesha wanaoishikilia rekodi ya wachekeshaji waliotazamwa sana kwenye TV nchini Tanzania kuanzia time hiyo ya Ze Comedy mpaka Orijino Komedi walivyokuwa...
5 Reactions
36 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…