Film Tanzania

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Habari wadau hope mko poa

Wakuu Naimani wapo wadau wa sanaa humu wanao penda kuwekeza na kuiendeleza sanaaa
Yatanzania

Nawaomba mtuangalie nasisi wenye uwezo katika swala zima lasanaa lakini manager wakusimamia kazi zetu wanakosekana.

Kiukweli Mimi binafsi ninauwezo wakipekee
Katika swala la kuandiaka story na uigizaji pia

Naninaapa kama. Ningepata sponsor asingejutia kuweka pesa sake kwangu

Kwanini tuwe tunakula. Chakula kimoja tu kila siku embu tubadilishe ladha tuinueni nasisi

Wa Tanzania tuna pendana na. Kusaidiana mm nikifanya vizuri nta kuburudisha we we na kukuingizia pesa

Niko serious sanaa. Kwaatakae jitolea kuni sponsor naahidi IPO. Siku

Atakuja kuandika Uzi humu ndani kwa mabadiliko makubwa nilio nayo

Nakwama. Kwakukukosa vifaa.
Naumimi uliopo kwa wasanii wetu walio endelea

Naimani wapo watakao guswa nahili Naomba sanaa. Saport yenu
 
Ungewasiliana na uongozi wa filamu nchini, nadhani mkuu wao anaitwa Mwakifwamba (kama bado hawajachagua mwingine?...hopefully wanayo program ya kusaidia underground kama nyie...kwani hakuna ubishi tasnia inahitaji mapinduzi makubwa na ya kwelikweli.
 
mkuu...tengeneza demo zitupie kwa wingi mitandao...siku hizi hakuna aja ya kuwa na camera simu nyingi zina camera nzuri tu ya kiwango cha kawaida....hivyo jirecord sana kisha tupia mitandaoni naamini utapata unachotafuta...njia ya mafanikio ni ndefu sana...lakini siku hizi hakuna mtu anaye weza kukuamini tu kwa maneno...ebu tupiamo kivideo ata kimoja cha kuusindikiza huu uzi
 
Niko katika harakati hizo wakuu

Naanda demo soon ntaileta humu
 
Back
Top Bottom