Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,215
Hawa watangazaji wamepotea ghafla wako wapi Mwenye kujua
Labda wapo likizoHawa watangazaji wamepotea ghafla wako wapi Mwenye kujua
Sina mkuu tangu mwakajuzi kama sikosei kipindi chao hawapo waoLabda wapo likizo
Vipi lakini hauna account zao za instagram? Huko ungeenda kuangalia updates zao. Au facebook
OkayWameamishwa kitengo now wapo chamazi wanakamua matunda
Hawa watangazaji wamepotea ghafla wako wapi Mwenye kujua