Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,580
48,729
neyo.jpg
leo diamond wetu amepost picha hii ikiwa na maneno the UK top 10 biggest songs of the week .

sio kweli! wimbo wake haupo kwenye list ya nyimbo kali uk
ukienda kwenye hyo website list ni kama ifuatavyo mentura again this week we bringing you the UK top 10 biggest songs of the week as compiled by the Official Charts Company, based on sales of downloads, CDs, vinyl and
10. NO LIE-SEAN PAUL FT DUA LIPA
LAST WEEK: 11
9. SEPTEMBER SONG-JP COOPER
LAST WEEK: 8
8. ROCKABYE-CLEAN BANDIT
LAST WEEK: 9
7. HUMAN-RAG'N'BONE MAN
LAST WEEK: 5
6. CALL ON ME-STARLEY
LAST WEEK: 6
5. PARIS-CHAINSMOKERS
LAST WEEK: 7
4. TOUCH-LITTLE MIX
LAST WEEK: 4
3. YOU DON'T KNOW ME-JAX JONES FT RAYE
LAST WEEK: 3
2. CASTLE ON THE HILL-ED SHEERAN
LAST WEEK: 2
. SHAPE OF YOU-ED SHEERAN
LAST WEEK: 1

diamond aache kudanganya .mimi sio hater ila haileti picha nzuri kiwaruwaru cha nini? Mentura

update
DIAMOND PLATNUMZ katika kuufanyia wimbo wake mpya promo kapost as if AMESIFIWA NA CNN wakati si kweli nenda page ya Cnn hawajampost?
hii thread ni ya kuweka uongo wote wa mond!
 
Mbona hujaweka picha aliyoweka yeye yenye ka New juu kushoto? Wimbo unatambulishwa huo, wewe ndio umechemka.

Udaku wako wa kusaka kuandika tu, huku hujui kitu. Pole yako ndugu

Screenshot_20170206-210803.jpg
 
neyo.jpg
leo diamond wetu amepost picha hii ikiwa na maneno the UK top 10 biggest songs of the week .

sio kweli! wimbo wake haupo kwenye list ya nyimbo kali uk
ukienda kwenye hyo website list ni kama ifuatavyo mentura again this week we bringing you the UK top 10 biggest songs of the week as compiled by the Official Charts Company, based on sales of downloads, CDs, vinyl and
10. NO LIE-SEAN PAUL FT DUA LIPA
LAST WEEK: 11
9. SEPTEMBER SONG-JP COOPER
LAST WEEK: 8
8. ROCKABYE-CLEAN BANDIT
LAST WEEK: 9
7. HUMAN-RAG'N'BONE MAN
LAST WEEK: 5
6. CALL ON ME-STARLEY
LAST WEEK: 6
5. PARIS-CHAINSMOKERS
LAST WEEK: 7
4. TOUCH-LITTLE MIX
LAST WEEK: 4
3. YOU DON'T KNOW ME-JAX JONES FT RAYE
LAST WEEK: 3
2. CASTLE ON THE HILL-ED SHEERAN
LAST WEEK: 2
. SHAPE OF YOU-ED SHEERAN
LAST WEEK: 1

diamond aache kudanganya .mimi sio hater ila haileti picha nzuri kiwaruwaru cha nini? Mentura

Uwe unaelewa kabla hujarukia kuanzisha uzi ambao hauna miguu wala kisigino, umechemka haswaaaaaaa. Au hujui maana ya neno malengo? LMAO
 
Back
Top Bottom