Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,410
39,481
Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
 
Sio tu kwamba kabadilika kwa sura bali hata moyo wake! Mahubiri yake siku hizi ni vijembe tu, kila akisoma mstari mmoja wa biblia anachomekea sifa za mtukufu kuwa hajawahi kutokea kama yeye, na yeye (lusekelo) anamhakikishia mtukufu ulinzi wa mungu! Naona kwa sasa anahubiri siasa na sio neno la mungu tena
 
Back
Top Bottom