Diamond Platnumz akamatwe kwa kuvunja Sheria Barabarani

geek jo

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
1,134
1,144
1. Hajamfunga mkanda mtoto.
2. Anacheza mziki akiwa anaendesha na kuhatarisha maisha ya watumiaji wengi wa barabara pamoja na aliowapakia.

Wanaosimamia sheria.. Raisi alishasema hakuna cha umaharufu.. Kamata weka ndani.

 

Attachments

  • 16544269_414123975594393_2895686067862634496_n.mp4
    13.8 MB · Views: 57
  • 16544269_414123975594393_2895686067862634496_n (1).mp4
    13.8 MB · Views: 61
Nianze kwa Refference ya Wale Vijana walikamatwa na Polis Wakiwa wanacheza Nyimbo ya Darasa /Muzuki. Dereva alionekana kucheza na Kuachia Usukani , huku abiria pia wakiwa hawajafunga mikanda . Kitemdo kile kilionekana Kukiuka taratibu za barabarani , ikiwa ni pamoja na kuhatarisha Maisha ya dereva na abiria waliokuamo ndani.

Kwenye Video , Utamuona Diamond akicheza Nyimbo ya Marry Me , Huku yeye na abiria aliwabeba wakiwa hawajafunga mikanda , kwa nyuma anaonekana Mtoto mdogo akiwa amesimama kwnye kiti, haitoshi.Nasibu anaonekana akiachia Uskani huku akiangalia mtu anayemchukua video.
Mpaka sasa sijaona Hatua iliyochukuliwa

My take .
Ifike mahala sheria tulizo nazo zieheshimiwe na ziguse kila mtu anayezivunja pasipo kujali Umaarufu , sheria ni msumeno , tunataka kuona Ikitumika kumkamata Mtu huyu.

Video hii hapa
 
hata akipata ajali haina madhara.si gari ya abiria.Let him drive at his own risk.
Watumiaji wa barabara ni wengi.. anaweza kugonga watu njiani au gari nyingine... nidhamu ni swala la muhimu barabarani kuepusha ajali...!
 
Unajuaje alikuwa South Africa hapo? pengine sheria za huko zina ruhusu
 
Back
Top Bottom