ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.
Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.