Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Leo February 8, 2017 Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi lake bado linamshikilia Wema na wenzake saba ambao walikamatwa na vielelezo na kuwa jalada lao limepelekwa kwa wakili wa serikali alipitie ili aone ushahidi uliopo pamoja na kupata majibu kutoka kwa mkemia mkuu wa serikali kubaini kama kweli ni mtumiaji wa madawa ya kulevya.