Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,463
25,383
Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum

Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond

Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo. Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao

Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua

Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo

Screenshot_2017-02-01-20-06-58_1.jpg

Screenshot_2017-02-01-20-07-26_1.jpg
 
Tatizo mashabiki wa diamond mnaushabiki unaovuka mipaka diamond tumemjua sababu ya muziki mambo mengine hayatuhusu kivile sijaona alikofeli tale sema mi naona abadili style ya kutembea kila kona na diamond anaonekana kama mbeba bag
 
Back
Top Bottom