Picha : Ommy dimpoz amuweka hadharani mchumba wake.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,383
24,939
Picha aliyopost Ommy Dimpoz ikiashiria kuwa huyo ndiye mpenzi wake Ommy Dimpoz alisema hayo kwenye kipindi cha E-Newz cha EATV wiki kadhaa zilizopita, Ommy alifunguka na kuthibitishakuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano na raia wa China., ambaye watu wengi hawamjui

Juzi Ommy Dimpoz ametupia Instagram picha ya pamoja akiwa na binti huyo mwenye asili ya China kisha akaweka 'emoji' yenye ishara ya love, akiashiria 'Mapenzi bampa 2 bampa'.

Ingawa Ommy Dimpoz hakutaka kufungua mjadala kwenye picha ile kwa kuamua kufunga uwanja wa comment ili watu wasiweze kuzungumza wala kujadili katika picha hiyo.

Lakini ukweli ni kwamba picha ile inazungumza mambo mengi kwa kila anayeiangalia.

20170207201354.jpeg

Chanzo : EATV
 
Picha aliyopost Ommy Dimpoz ikiashiria kuwa huyo ndiye mpenzi wake Ommy Dimpoz alisema hayo kwenye kipindi cha e Newz cha EATV wiki kadhaa zilizopita, Ommy alifunguka na kuthibitishakuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano na raia wa China., ambaye watu wengi hawamjui.

Juzi Ommy Dimpoz ametupia Instagram picha ya pamoja akiwa na binti huyo mwenye asili ya China kisha akaweka 'emoji' yenye ishara ya love, akiashiria 'Mapenzi bampa 2 bampa'.

Ingawa Ommy Dimpoz hakutaka kufungua mjadala kwenye picha ile kwa kuamua kufunga uwanja wa comment ili watu wasiweze kuzungumza wala kujadili katika picha hiyo.

Lakini ukweli ni kwamba picha ile inazungumza mambo mengi kwa kila anayeiangalia.

View attachment 468173

Chanzo : EATV
duuh kila picha ommi dimpozi akituma akiwa na mwanamke basi demu wake

Ebwana eeh bora uwe maskini ambae huna uhakika wa kula mlo hata mmoja kuliko jogoo wako kutoweza kupanda mtungi

Hamna kitu hapo. Kwa kuwa mchina hajui kiswahili, hataelewa. Jamaa atakuwa alimuomba wapige picha kiroho safi, kaamua kudanganya demu wake. Neno "demu" wachina hawajui akiuliza maana ataambiwa Rafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom